title : Maisha : Mhe. Tundu Lissu Apata Dhamana
kiungo : Maisha : Mhe. Tundu Lissu Apata Dhamana
Maisha : Mhe. Tundu Lissu Apata Dhamana
Tundu Lissu, hatimaye amepata dhamana baada ya ombi la mawakili wa serikali la kuomba mahakam imnyime dhamana kutupiliwa mbali.
Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri amesema, baada ya kupitia hoja za serikali na majibu ya mawakili wa utetezi, haoni mantiki ya kuzuia dhamana kwa Lissu.
Hivyo , Hakimu Mashauri amemtaka Lissu kuwa na wadhamini wawili wanaoaminika ambapo kila mmoja atasaini bondi ya Sh. 10 milioni.
Kesi imeahirishwa kwa muda kusubiri Lissu atimize masharti aliyopewa.
Hivyo makala Maisha : Mhe. Tundu Lissu Apata Dhamana
yaani makala yote Maisha : Mhe. Tundu Lissu Apata Dhamana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maisha : Mhe. Tundu Lissu Apata Dhamana mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/maisha-mhe-tundu-lissu-apata-dhamana.html
0 Response to "Maisha : Mhe. Tundu Lissu Apata Dhamana"
Post a Comment