title : MAONESHO YA SABASABA: SSRA YASOGEZA HUDUMA KARIBU KWA WADAU
kiungo : MAONESHO YA SABASABA: SSRA YASOGEZA HUDUMA KARIBU KWA WADAU
MAONESHO YA SABASABA: SSRA YASOGEZA HUDUMA KARIBU KWA WADAU
Mwambawahabari
Afisa Utafiti na Sera kutoka SSRA Bw. Mashala Bukalasa akifanunua baadhi ya masuala kuhusu Hifadhi ya jamii wakati wa Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ( Sabasaba) yanayoendelea kwenye Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam
Afisa Uhusiano na Uhamashishaji kutoka SSRA, Bw. Ally Masaninga akitoa elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wadau waliotembelea banda la Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ( Sabasaba)
Maafisa wa SSRA Bw. David Lyanga na Imani Masebu wakijibu hoja mbalimbali za wadau waliotembelea banda la PSPF wakati wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam
Afisa Mwandamizi wa Huduma za Sheria kutoka SSRA, Bw. Omary Halfan akisikiliza kwa makini hoja za mmoja wa wadau wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii alietembelea Banda la NSSF kwenye Maonesho ya Sabasaba
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Usimamizi wa Rasilimali Watu kutoka SSRA Bw. Mohamed Nyasama akibadilishana mawazo ya maafisa kutoka na SSRA na GEPF alipotembelea banda la GEPF kwenye Maonesho ya Sabasaba
Bw. Frank Kilimba ambae ni Afisa Mwandamizi wa Matekelezo kutoka SSRA akisikiliza hoja za wadau wa Hifadhi ya Jamii kwenye Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam
Hivyo makala MAONESHO YA SABASABA: SSRA YASOGEZA HUDUMA KARIBU KWA WADAU
yaani makala yote MAONESHO YA SABASABA: SSRA YASOGEZA HUDUMA KARIBU KWA WADAU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAONESHO YA SABASABA: SSRA YASOGEZA HUDUMA KARIBU KWA WADAU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/maonesho-ya-sabasaba-ssra-yasogeza.html
0 Response to "MAONESHO YA SABASABA: SSRA YASOGEZA HUDUMA KARIBU KWA WADAU"
Post a Comment