MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGE MJINI DODOMA

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGE MJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGE MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGE MJINI DODOMA
kiungo : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGE MJINI DODOMA

soma pia


MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGE MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Novemba 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Aldersgate ya mjini Babati ambao walitembelea Bunge Mjini Dodoma kwa lengo la kujifunza Novemba 16, 2017. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu  na  wananfunzi wa shule ya Sekondari ya Ibuaga wilayani Kongwa ambao walitembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao Spika wa Bunge, Job Ndugai Novemba 16, 2017.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM wa mkoa wa Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 16, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wananchuo wa Chuo Kikuu cha Saint John cha mjini Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mini Dodoma Novemba 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGE MJINI DODOMA

yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGE MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGE MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/matukio-mbalimbali-ya-waziri-mkuu_16.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGE MJINI DODOMA"

Post a Comment