title : BALOZI DK. PINDI CHANA NA MWENYEKITI WA BODI YA LAPF WATEMBELEA BANDA LA LAPF
kiungo : BALOZI DK. PINDI CHANA NA MWENYEKITI WA BODI YA LAPF WATEMBELEA BANDA LA LAPF
BALOZI DK. PINDI CHANA NA MWENYEKITI WA BODI YA LAPF WATEMBELEA BANDA LA LAPF
Mwambawahabari
Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dr. Pindi Chana akipokea zawadi kutoka kwa mtumishi wa LAPF Simboninsia Ndosi alipotembelea banda la LAPF katika maonyesho ya biashara ya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, kulia anayeshuhudia tukio hilo ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe
Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dr. Pindi Chana akisalimiana na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe alipotembelea banda la LAPF katika maonyesho ya biashara ya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam,
Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dr. Pindi Chana akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la LAPF katika maonyesho ya biashara ya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, kulia ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya LAPF Prof. FAUSTINE BEE akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi wa mfuko huo wakati alipotembelea banda la mfuko wa Pensheni wa LAPF katika viwanja vya Sabasaba.
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya LAPF Prof. FAUSTINE BEE akikikaribishwa na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakati alipotembelea banda la mfuko wa Pensheni wa LAPF katika viwanja vya Sabasaba kushoto ni Rehema Mkamba Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano LAPF.
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya LAPF Prof. FAUSTINE BEE akizungumza na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakati alipotembelea bandahilo.
Mtumishi wa LAPF Philbert Francis akimkabidhi zawadi mmoja wa wanachama wa LAPF alietembelea banda hilo.
Hivyo makala BALOZI DK. PINDI CHANA NA MWENYEKITI WA BODI YA LAPF WATEMBELEA BANDA LA LAPF
yaani makala yote BALOZI DK. PINDI CHANA NA MWENYEKITI WA BODI YA LAPF WATEMBELEA BANDA LA LAPF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI DK. PINDI CHANA NA MWENYEKITI WA BODI YA LAPF WATEMBELEA BANDA LA LAPF mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/balozi-dk-pindi-chana-na-mwenyekiti-wa.html
0 Response to "BALOZI DK. PINDI CHANA NA MWENYEKITI WA BODI YA LAPF WATEMBELEA BANDA LA LAPF"
Post a Comment