title : Tigo yasherekea wiki ya huduma kwa Mteja katika duka la Mlimani City
kiungo : Tigo yasherekea wiki ya huduma kwa Mteja katika duka la Mlimani City
Tigo yasherekea wiki ya huduma kwa Mteja katika duka la Mlimani City
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Chisel akijadiliana jambo na Meneja huduma kwa wateja kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Mwangaza Matotola na msimamizi wa duka la Tigo Mlimani City Joseph Umoti (katikati mapema jana katika duka la Mlimani city. 
Meneja huduma kwa wateja kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Mwangaza Matotola (kushoto) akisaidiana na msimamizi wa duka la Tigo Mlimani City Joseph Umoti kutoa huduma kwa Happiness Muthali wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja. Maadhimisho hayo yameanza jana.
Meneja huduma kwa wateja kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Mwangaza Matotola (kushoto) na msimamizi wa duka la Tigo Mlimani City Joseph Umoti wakifurahi jambo na mteja wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja. Maadhimisho hayo yameanza jana.
Hivyo makala Tigo yasherekea wiki ya huduma kwa Mteja katika duka la Mlimani City
yaani makala yote Tigo yasherekea wiki ya huduma kwa Mteja katika duka la Mlimani City Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tigo yasherekea wiki ya huduma kwa Mteja katika duka la Mlimani City mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/tigo-yasherekea-wiki-ya-huduma-kwa.html
0 Response to "Tigo yasherekea wiki ya huduma kwa Mteja katika duka la Mlimani City"
Post a Comment