title : LAPF WANG'ARA KATIKA UFUNGUZI WA MAONESHO YA SABASABA
kiungo : LAPF WANG'ARA KATIKA UFUNGUZI WA MAONESHO YA SABASABA
LAPF WANG'ARA KATIKA UFUNGUZI WA MAONESHO YA SABASABA
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa hifadhi ya Jamii wa LAPF Bw. James Mlowe akizungumza na Mkurugenzi wa Afri Tea Blenders Bw. Abdulhakim Mulla alipotembelea banda la maonyesho lililopo kaika maonesho ya Sabasba jijini Dar es Salaam
Afisa Matekelezo wa LAPF Emmanuel Meisha akizungumza na mmoja wa Wateja wa LAPF ambae ameweza kufika katika banda la mfuko huo wa hifasdhi ya jami hili aweze kujiunga
Afisa Matekelezo wa LAPF, Juma Venerando akitoa hudama kwa wateja waliofik katika banda la LAPF, Kupata huduma hili waweze kujiunga na mfuko huo
Wafanyakazi wa mfuko wa Pensheni wa LAPF wakiwa katika picha ya pamoja na tuzo ya ushindi wa kuwa mfuko bora wa hifadhi ya jamii katika maonesho ya Sabasba 2017
Hivyo makala LAPF WANG'ARA KATIKA UFUNGUZI WA MAONESHO YA SABASABA
yaani makala yote LAPF WANG'ARA KATIKA UFUNGUZI WA MAONESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala LAPF WANG'ARA KATIKA UFUNGUZI WA MAONESHO YA SABASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/lapf-wangara-katika-ufunguzi-wa.html
0 Response to "LAPF WANG'ARA KATIKA UFUNGUZI WA MAONESHO YA SABASABA"
Post a Comment