title : KIDOA SI WA MCHEZO MCHEZO ANAMILIKI MJENGO WA HATARI
kiungo : KIDOA SI WA MCHEZO MCHEZO ANAMILIKI MJENGO WA HATARI
KIDOA SI WA MCHEZO MCHEZO ANAMILIKI MJENGO WA HATARI
Akipiga stori na Za Motomoto News, alisema tangu ajikite kwenye ishu hiyo amebadilisha maisha yake kwani sasa ameweza kumhamisha mama yake kutoka nyumba ya kupanga aliyokuwa anaishi maeneo ya Kinondoni Dar.
“Namshukuru Mungu, tamthiliya zinanilipa kwa kweli sikutarajia kwa umri huu mdogo wa miaka 22, ningeweza kumiliki mjengo tena kwa jasho langu, hatimaye nimemnusuru mama yangu na mabalaa ya nyumba za kupanga,” alisema Kidoa.
Stori: Mayasa Mariwata
Hivyo makala KIDOA SI WA MCHEZO MCHEZO ANAMILIKI MJENGO WA HATARI
yaani makala yote KIDOA SI WA MCHEZO MCHEZO ANAMILIKI MJENGO WA HATARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KIDOA SI WA MCHEZO MCHEZO ANAMILIKI MJENGO WA HATARI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/kidoa-si-wa-mchezo-mchezo-anamiliki.html
0 Response to "KIDOA SI WA MCHEZO MCHEZO ANAMILIKI MJENGO WA HATARI"
Post a Comment