KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA

KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA
kiungo : KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA

soma pia


KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA


Familia ya Ramadhani  Hassan Nyamka wanakumbuka kifo cha baba yao mpendwa Ramadhani Nyamka aliyefariki Septemba 20 1997.

Ni miaka 2o toka kuondoka kwa Ramadhani Nyamka ambaye aliwahi kuwa Mwemyekiti wa Chama Mkoa Dar es Salaam na Meya wa Jiji la Dar es salaam mwaka 1978-82.

Unakumbukwa na watoto wako Zuberi, Ibrahim, Sophia, Halima, Shami, Mariam, Maendeleo, Shaban na Mikidadi,  wake zao Mama Shami na Mama Mzee pamoja na wajukuu zako Zainab, Umrathi, Nuru, Salum, Hafidha, Sara na familia nzima kwa ujumla.

Tunazidi kukuombea kwa Allah azidi kukupa kauli thabiti na makazi mema Akhera.

Allahuma Amin.




Hivyo makala KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA

yaani makala yote KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/kumbukumbu-ya-miaka-20-ya-kifo-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA RAMADHANI NYAMKA"

Post a Comment