Uamuzi wa kesi ya bangi inayomkabili Wema Sepetu wapigwa kalenda

Uamuzi wa kesi ya bangi inayomkabili Wema Sepetu wapigwa kalenda - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Uamuzi wa kesi ya bangi inayomkabili Wema Sepetu wapigwa kalenda, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Uamuzi wa kesi ya bangi inayomkabili Wema Sepetu wapigwa kalenda
kiungo : Uamuzi wa kesi ya bangi inayomkabili Wema Sepetu wapigwa kalenda

soma pia


Uamuzi wa kesi ya bangi inayomkabili Wema Sepetu wapigwa kalenda

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.

Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, imesema uamuzi wa kupokelewa au kutokupokelewa kwa bangi iliyokutwa nyumbani kwa miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na wenzake wawili utatolewa Septemba 12.

Hakimu Mkazi Wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Thomas Simba amesema hayo leo wakati kesi hiyo imekuja kwa ajili ya kutolewa uamuzi.

Katika kesi hiyo, Wema ambaye pia ni msanii maarufu wa filamu anakabiliwa na mashtaka ya kukutwa na kete mbili za bangi na msokoto mmoja pamoja na wafanyakazi wake wawili, Angelina Msigwa na Matrida Abbas.

Akiahirisha kesi hiyo, hakimu Simba amesema, " nilitakiwa kutoa uamuzi mdogo leo kuhusiana na kielelezo kilichowasilishwa na shahidi wa upande wa mashtaka kama kipokelewe au la, lakini palitakiwa kufanya utafiti wa kutosha kutolea maamuzi, nilijipa muda mdogo sana, tumejadiliana na mawakili wa pande zote mbili na sasa uamuzi utatolewa Septemba 12 na kesi hii itaendelwa hadi  Septemba 13.

Awali ilidaiwa, February mwaka huu, katika makazi ya Wema, Kunduchi Ununio washtakiwa walikutwa na msokoto mmoja na vipisi viwili vya bangi vyenye uzito Wa gramu 1.08



Hivyo makala Uamuzi wa kesi ya bangi inayomkabili Wema Sepetu wapigwa kalenda

yaani makala yote Uamuzi wa kesi ya bangi inayomkabili Wema Sepetu wapigwa kalenda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Uamuzi wa kesi ya bangi inayomkabili Wema Sepetu wapigwa kalenda mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/uamuzi-wa-kesi-ya-bangi-inayomkabili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Uamuzi wa kesi ya bangi inayomkabili Wema Sepetu wapigwa kalenda"

Post a Comment