FC VITO KUKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KESHO

FC VITO KUKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KESHO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa FC VITO KUKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KESHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : FC VITO KUKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KESHO
kiungo : FC VITO KUKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KESHO

soma pia


FC VITO KUKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KESHO


Msafara wa wachezaji, makocha na walezi wa timu ya vijana ya FC Vito ya Lindi, umetua salama jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kukabidhiwa bendera ya Taifa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT).

FC Vito inatarajia kuondoka nchini Julai 5, kwenda Helsinki, Finland kushiriki michuano ya vijana ya Helsinki Cup 2017, michuano ya nne kwa ukubwa barani Ulaya kwa vijana

Kikosi hicho kitakabidhiwa Bendera ya Taifa hapo kesho katika Ukumbi wa Mikutano uliopo Ubalozi wa Finland makutano ya mitaa ya Mirambo na Garden Avenue jijini Dar es Salaam....

Mgeni rasmi wa hafla hiyo, ambaye ndiye atakayekabaidhi bendera ya taifa ni Katibu Mkuu wa BMT, Mohammed Kiganja...





Hivyo makala FC VITO KUKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KESHO

yaani makala yote FC VITO KUKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala FC VITO KUKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KESHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/fc-vito-kukabidhiwa-bendera-ya-taifa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "FC VITO KUKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KESHO"

Post a Comment