title : Rais wa Zanzibar Dk.Shein Kuzungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme (ZECO) leo.
kiungo : Rais wa Zanzibar Dk.Shein Kuzungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme (ZECO) leo.
Rais wa Zanzibar Dk.Shein Kuzungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme (ZECO) leo.
Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Nd,Hassan Ali Mbarouk akitoa maelezo wakati wa kikao cha siku moja cha Ungozi wa Shirika hilo na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika kikao cha kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) pampoja na Uongozi wa ZECO katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 03/07/2017.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk.Shein Kuzungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme (ZECO) leo.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk.Shein Kuzungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme (ZECO) leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk.Shein Kuzungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme (ZECO) leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-wa-zanzibar-dkshein-kuzungumza-na.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk.Shein Kuzungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme (ZECO) leo."
Post a Comment