WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA DAWA KUTOKA CHINA WENYE THAMANI ZAIDI YA SHILING BILIONI MOJA

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA DAWA KUTOKA CHINA WENYE THAMANI ZAIDI YA SHILING BILIONI MOJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA DAWA KUTOKA CHINA WENYE THAMANI ZAIDI YA SHILING BILIONI MOJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA DAWA KUTOKA CHINA WENYE THAMANI ZAIDI YA SHILING BILIONI MOJA
kiungo : WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA DAWA KUTOKA CHINA WENYE THAMANI ZAIDI YA SHILING BILIONI MOJA

soma pia


WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA DAWA KUTOKA CHINA WENYE THAMANI ZAIDI YA SHILING BILIONI MOJA

Na Ramadhani Ali – Maelezo Zanzibar                  
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed amewataka wafanyakazi wa Bohari Kuu kutumia mifumo ya kisasa ya kuagiza dawa kujuwa takwimu sahihi ya dawa zilizopo kuepuka kununa dawa ambazo zipo kwa wingi katika Bohari na hazitumiki kwa wingi ili kuzinusuru kuharibika .

Waziri Hamad ameeleza hayo Bohari Kuu ya Dawa Maruhubi alipokuwa akipokea msaada wa dawa tafauti na vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni moja kutoka kundi la Madaktari wa China wanaofanyakazi Hospitali ya Mnazimmoja na Abdalla Mzee Mkoani.

Alisema kuwa na takwimu sahihi ya dawa, matumizi ya kila siku na sehemu ambazo aina ya maradhi yanawasumbua zaidi wananchi ni hatua muhimu ya kufanikisha kutoa huduma bora ya matibabu kwa wananchi.

Waziri wa Afya aliishukuru Serikali ya Watu wa China kwa misaada mikubwa wanayotowa katika kusaidia sekta ya Afya ikiwemo dawa na vifaa tiba na kufanya tafiti za magonjwa mbali mbali yanayosumbua Zanzibar na hatimae kuyatafutia suluhisho bila ya kuweka masharti.
Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed na Balozi mdogo wa China aliepo Zanzibar  Xie Xiaowu wakisaini hati ya makabidhiano ya dawa zilizotolewa na Serikali ya watu wa China.
 Balozi mdogo wa China aliepo Zanzibar Xie Xiaowu akimkabidhi Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed msaada wa dawa uliotolewa na Serikali ya China, makabidhiano haya yamefanyika Bohari Kuu ya dawa Maruhubi Mjini Zanzibar.
  Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akizungumza na wafanyakazi wa bohari kuu ya dawa mara baada ya makabidhiano ya dawa yaliyofanyika katika Ofisi hiyo Maruhubi Mjini Zanzibar.
Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed katikati na Balozi mdogo wa China aliepo Zanzibar Xie Xiaowu katika picha ya pamoja na timu ya madaktari wa china wanaofanyakazi Hospitali kuu ya Mnazimmoja. Picha na Makame Mshenga.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA DAWA KUTOKA CHINA WENYE THAMANI ZAIDI YA SHILING BILIONI MOJA

yaani makala yote WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA DAWA KUTOKA CHINA WENYE THAMANI ZAIDI YA SHILING BILIONI MOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA DAWA KUTOKA CHINA WENYE THAMANI ZAIDI YA SHILING BILIONI MOJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/wizara-ya-afya-zanzibar-yapokea-msaada.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA DAWA KUTOKA CHINA WENYE THAMANI ZAIDI YA SHILING BILIONI MOJA"

Post a Comment