Breaking News!!!! NEC Yawateuwa 8 Kuwa Wabunge wa Viti Maalumu CUF

Breaking News!!!! NEC Yawateuwa 8 Kuwa Wabunge wa Viti Maalumu CUF - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Breaking News!!!! NEC Yawateuwa 8 Kuwa Wabunge wa Viti Maalumu CUF, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Breaking News!!!! NEC Yawateuwa 8 Kuwa Wabunge wa Viti Maalumu CUF
kiungo : Breaking News!!!! NEC Yawateuwa 8 Kuwa Wabunge wa Viti Maalumu CUF

soma pia


Breaking News!!!! NEC Yawateuwa 8 Kuwa Wabunge wa Viti Maalumu CUF

Mwambawahabari

Kwa mujibu wa Ibara ya 78(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ikisomwa pamoja na kifungu cha 86(8) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, sura ya 343, Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika kikao chake cha tarehe 27 Julai 2017imewateua wafuatao kuwa Wabunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF).


1- Ndugu Rukia Ahmed Kassim;
2- Ndugu Shamsia Aziz Mtamba;
3- Ndugu Kiza Hussein Mayeye;
4- Ndugu Zainab Mndolwa Amir;
5- Ndugu Hindu Hamis Mwenda;
6- Ndugu Sonia Juma Magogo;
7- Ndugu Alfredina Apolinary Kahigi; na
8- Ndugu Nuru Awadh Bafadhili,


Uteuzi huu umefanyika baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye kwa mujibu wa Kifungu cha 37(3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 alitaarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwepo kwa nafasi wazi nane (8) za Wabunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Wananchi CUF.


Hivyo makala Breaking News!!!! NEC Yawateuwa 8 Kuwa Wabunge wa Viti Maalumu CUF

yaani makala yote Breaking News!!!! NEC Yawateuwa 8 Kuwa Wabunge wa Viti Maalumu CUF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Breaking News!!!! NEC Yawateuwa 8 Kuwa Wabunge wa Viti Maalumu CUF mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/breaking-news-nec-yawateuwa-8-kuwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Breaking News!!!! NEC Yawateuwa 8 Kuwa Wabunge wa Viti Maalumu CUF"

Post a Comment