Zantel ilivyofutarisha wafanyakazi wake

Zantel ilivyofutarisha wafanyakazi wake - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zantel ilivyofutarisha wafanyakazi wake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zantel ilivyofutarisha wafanyakazi wake
kiungo : Zantel ilivyofutarisha wafanyakazi wake

soma pia


Zantel ilivyofutarisha wafanyakazi wake

 Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa maarufu kwa jina la Baucha akizungumza katika hafla ya kupata futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni hiyo wa upande wa Zanzibar wakati wa kupata futari iliyoandaliwa kwa ajili yao  mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.

Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa maarufu kwa jina la Baucha (Kulia) na Mkuu wa huduma za Ezypesa Zantel, Shinuna Kassim (katikati) wakifurahia jambo na mteja wa Zantel katika hafla ya kupata futari iliyoandaliwa na Kampuni hiyo mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.

 Ofisa Mauzo kwa wateja wakubwa wa Zantel, Salum Ally Said (kushoto) akiwa pamoja na mteja wa Kampuni hiyo wakati wa kupata futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wa Zantel mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.
 Wafanyakazi wa Zantel kwa upande wa Zanzibar wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Benoit Janin (hayupo pichani) wakati wa kupata futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wafanyakazi wa Zantel mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.
Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa maarufu kwa jina la Baucha (Katikati) akipata futari na baadhi ya wateja wa Kampuni hiyo katika hafla iliyoandaliwa na Kampuni hiyo mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.


Hivyo makala Zantel ilivyofutarisha wafanyakazi wake

yaani makala yote Zantel ilivyofutarisha wafanyakazi wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zantel ilivyofutarisha wafanyakazi wake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/zantel-ilivyofutarisha-wafanyakazi-wake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Zantel ilivyofutarisha wafanyakazi wake"

Post a Comment