title : ZANTEL YAFUTURISHA WATEJA NA WAFANYAKAZI WAKE ZANZIBAR
kiungo : ZANTEL YAFUTURISHA WATEJA NA WAFANYAKAZI WAKE ZANZIBAR
ZANTEL YAFUTURISHA WATEJA NA WAFANYAKAZI WAKE ZANZIBAR
Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa maarufu kwa jina la Baucha (Kulia) na Mkuu wa huduma za Ezypesa Zantel, Shinuna Kassim (katikati) wakifurahia jambo na mteja wa Zantel katika hafla ya kupata futari iliyoandaliwa na Kampuni hiyo mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.
Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa maarufu kwa jina la Baucha (Katikati) akipata futari na baadhi ya wateja wa Kampuni hiyo katika hafla iliyoandaliwa na Kampuni hiyo mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.
Wafanyakazi wa Zantel kwa upande wa Zanzibar wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Benoit Janin (hayupo pichani) wakati wa kupata futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wafanyakazi wa Zantel mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni hiyo wa upande wa Zanzibar wakati wa kupata futari iliyoandaliwa kwa ajili yao mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala ZANTEL YAFUTURISHA WATEJA NA WAFANYAKAZI WAKE ZANZIBAR
yaani makala yote ZANTEL YAFUTURISHA WATEJA NA WAFANYAKAZI WAKE ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZANTEL YAFUTURISHA WATEJA NA WAFANYAKAZI WAKE ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/zantel-yafuturisha-wateja-na.html
0 Response to "ZANTEL YAFUTURISHA WATEJA NA WAFANYAKAZI WAKE ZANZIBAR"
Post a Comment