NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE

NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE
kiungo : NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE

soma pia


NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE

 Naibu waziri Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe,Lucas Boniphace Magembe wakiwa katika  boti ya kizamani, tayari kwa ajili ya safari ya  kwenda katika kisiwa cha Gana 
 katika ziara yake ya  kanda ya ziwa  ya kuwahamasisha wavuvi ufungaji wa samaki kwa vizimba katika ziwa Victoria.
(picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
 Naibu Waziri wa Mifugo na  Uvuvi,Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa kisiwa cha Gana wilaya ya  Ukerewe mkoa wa Mwanza ambapo aliwasisitiza polisi pamoja na mgambo wanapoenda kwenye operesheni ya kupambana na  uvuvi haramu wawewanaenda na maafisa uvuvi kwa kuwa wao wanajua zana haramu pamoja samaki wasioruhusiwa kisheria.
 Naibi Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega akipanda boti ya kizamani, tayari kwa ajili ya safari ya kuelekea katika kisiwa cha Gana Wilaya ya Ukerewe  kwaajili ya kuhamasisha ufungaji wa samaki kwa vizimba katika Vctoria.
 Wananchi wa kisiwa cha Gana wilaya ya Ukerewe  wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega wapili (kushoto) akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Sengerema,Lucas Magembe (kushoto) wakiwasili katika kisiwa cha Gana.


Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE

yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/naibu-waziri-wa-mifugo-na-uvuvi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA KISIWA CHA GANA UKEREWE"

Post a Comment