title : WAZIRI WA MALISILI NA UTALII AZINDUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII NA VIWANDA MKOANI KILIMANJARO
kiungo : WAZIRI WA MALISILI NA UTALII AZINDUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII NA VIWANDA MKOANI KILIMANJARO
WAZIRI WA MALISILI NA UTALII AZINDUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII NA VIWANDA MKOANI KILIMANJARO
Waziri wa Malisili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho ya tatu ya kimataifa ya Utalii yanayofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu Ushirika mjini Moshi.
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Devota Mdachi akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa maonesho makubwa Afrika Mashariki ya Utalii na Viwanda yanayofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu Cha Ushirika mjini Moshi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TTB,Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akisalimia wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo.
Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya Kili Fair inayoratibu maonesho hayo Dominic Shoo akisoma taarifa kuhsu maonesho hayo yanayofanyika wa mara ya tatu sasa .
Mkuu wa wilaya ya Moshi Mhe. Kippi Warioba akitoa neno katika ufunguzi wa maonesho ya Kili Fair yanayojumuisha zaidi ya washiriki 300 kutoka nchi tisa. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala WAZIRI WA MALISILI NA UTALII AZINDUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII NA VIWANDA MKOANI KILIMANJARO
yaani makala yote WAZIRI WA MALISILI NA UTALII AZINDUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII NA VIWANDA MKOANI KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA MALISILI NA UTALII AZINDUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII NA VIWANDA MKOANI KILIMANJARO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-wa-malisili-na-utalii-azindua_4.html
0 Response to "WAZIRI WA MALISILI NA UTALII AZINDUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII NA VIWANDA MKOANI KILIMANJARO"
Post a Comment