JANETH MASABURI AAPISHWA RASMI LEO KUWA MBUNGE.

JANETH MASABURI AAPISHWA RASMI LEO KUWA MBUNGE. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JANETH MASABURI AAPISHWA RASMI LEO KUWA MBUNGE., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JANETH MASABURI AAPISHWA RASMI LEO KUWA MBUNGE.
kiungo : JANETH MASABURI AAPISHWA RASMI LEO KUWA MBUNGE.

soma pia


JANETH MASABURI AAPISHWA RASMI LEO KUWA MBUNGE.


Spika wa Bunge, Job Ndugai amemuapisha  Janeth Masaburi kuwa mbunge. Janeth aliingia bungeni akisindikizwa na wabunge wanawake wa CCM.

Rais John Magufuli, Oktoba 21,2017 alimteua Janeth kushika wadhifa huo.

Janeth ni mke wa marehemu Dk Didas Masaburi aliyewahi kuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam.

Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Dk Masaburi aligombea ubunge wa Ubungo na kushindwa na Saed Kubenea wa Chadema.

Uteuzi wa Janeth umefanywa na Rais Magufuli kwa mujibu wa Ibara ya 66 (1)(e) ya Katiba ya Tanzania inayompa mamlaka ya kuteua wabunge 10 na ulihitimisha nafasi hizo.

Wateule hao ambao ni mawaziri ni; Dk Philip Mpango (Fedha na Mipango), Profesa Palamagamba Kabudi (Katiba na Sheria), Profesa Joyce Ndalichako (Elimu, Sayansi na Teknolojia), Profesa Makame Mbarawa (Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano) na Dk. Augustine Mahiga (Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa).

Wengine walioteuliwa na Rais Magufuli ni Dk Tulia Ackson ambaye ni Naibu Spika wa Bunge, Salima Kikwete, Anne Kilango na Abdallah Bulembo.


Hivyo makala JANETH MASABURI AAPISHWA RASMI LEO KUWA MBUNGE.

yaani makala yote JANETH MASABURI AAPISHWA RASMI LEO KUWA MBUNGE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JANETH MASABURI AAPISHWA RASMI LEO KUWA MBUNGE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/janeth-masaburi-aapishwa-rasmi-leo-kuwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JANETH MASABURI AAPISHWA RASMI LEO KUWA MBUNGE."

Post a Comment