BULEMBO ACHANJA MBUGA NA KUMALIZA ZIARA YA MKOA WA KIGOMA KWA KUPIGA KAZI KATIKA WILAYA YA KAKONKO, LEO

BULEMBO ACHANJA MBUGA NA KUMALIZA ZIARA YA MKOA WA KIGOMA KWA KUPIGA KAZI KATIKA WILAYA YA KAKONKO, LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BULEMBO ACHANJA MBUGA NA KUMALIZA ZIARA YA MKOA WA KIGOMA KWA KUPIGA KAZI KATIKA WILAYA YA KAKONKO, LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BULEMBO ACHANJA MBUGA NA KUMALIZA ZIARA YA MKOA WA KIGOMA KWA KUPIGA KAZI KATIKA WILAYA YA KAKONKO, LEO
kiungo : BULEMBO ACHANJA MBUGA NA KUMALIZA ZIARA YA MKOA WA KIGOMA KWA KUPIGA KAZI KATIKA WILAYA YA KAKONKO, LEO

soma pia


BULEMBO ACHANJA MBUGA NA KUMALIZA ZIARA YA MKOA WA KIGOMA KWA KUPIGA KAZI KATIKA WILAYA YA KAKONKO, LEO

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akipandisha bendera, kuzindua Shina namba sita la CCM la Kiyobela, Katika Kijiji cha Kabiko wilayani Kakonko mkoani Kigoma, leo.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulelmbo akimwambia jambo Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala, baada ya kuzindua Shina namba Sita la CCM la Kiyobela, Katika Kijiji cha Kabiko wilayani Kakonko mkoani Kigoma, leo. Kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma Naomi Kapambala
 Mjube wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya viongozi, alipokagua ujenzi wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, leo
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akimsalimia Mwenyekiti wa Sina la CCM Namba Sita, Tawi la Kakonko Msufini, Wilayani Kakonko mkoani Kigoma, Ramadhan Adam mwenye ulemavu wa miguu, baada ya kuzindua shina hilo.
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kakonko, Mabalozi, Viongozi na watendaji wa CCM, Watendaji wa Serikali na Viongozi mbalimbali wa CCM na Jumuia zake. Walisimama kwa nderemo na vifijo Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo alipokuwa akiingia ukumbini kuzungumza nao katika kikao cha ndani.



Hivyo makala BULEMBO ACHANJA MBUGA NA KUMALIZA ZIARA YA MKOA WA KIGOMA KWA KUPIGA KAZI KATIKA WILAYA YA KAKONKO, LEO

yaani makala yote BULEMBO ACHANJA MBUGA NA KUMALIZA ZIARA YA MKOA WA KIGOMA KWA KUPIGA KAZI KATIKA WILAYA YA KAKONKO, LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BULEMBO ACHANJA MBUGA NA KUMALIZA ZIARA YA MKOA WA KIGOMA KWA KUPIGA KAZI KATIKA WILAYA YA KAKONKO, LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/bulembo-achanja-mbuga-na-kumaliza-ziara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BULEMBO ACHANJA MBUGA NA KUMALIZA ZIARA YA MKOA WA KIGOMA KWA KUPIGA KAZI KATIKA WILAYA YA KAKONKO, LEO"

Post a Comment