Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EACkiungo :
Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC
Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika MasharikI, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akimsikiliza Afisa Mkuu wa Uhusiano wa Sekrearieti ya Jumuiya ya Afrika Mshariki, Bw. Otrhieno Richard Owora (kushoto). Katika mazungumzo hayo, wawili hao walizungumzia maandalizi ya uzinduzi wa mashindano ya kubuni nembo mpya ya EAC yatakayowahusisha wanafunzi wa Vyuo Vikuu vilivyopo kwenye nchi wanachama wa Jumuiya hiyo. Uzinduzi huo utafanyika kwenye Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam tarehe 09 Juni 2017. 
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga (wa kwanza kushoto), pamoja na Maafisa Habari wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, wa kwanza kulia ni Bw. Ally Kondo pamoja na Robi Bwiru wakinukuu mambo yaliyokuwa yakizungumzwa na Balozi Mwinyi pamoja na Bw. Owora.
Mazungumzo yakiendelea.
Balozi Mwinyi akipokea kitabu chenye mwongozo wa namna ya kushiriki mashindano hayo.
Picha ya pamoja.
Hivyo makala Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC
yaani makala yote Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/vijana-wahamisishwa-kushiriki.html
Related Posts :
Mhini aenda kujiunga St Felix Uingereza, aahaidi kuleta medali ya kwanza ya kuogelea Tanzania
Muogeleaji, Dennis Mhini (wa nne kutoka kulia) akiwa na wazazi wake na ndugu na jamaa kabla ya kuondoka kwenda nchini Uingereza kuanza mafu… Read More...
TRA WATANGAZA KIAMA WAFANYABIASHA WAKWEPA KODI KARIAKOO, WATOA SIKU SABA ZA MWISHO.
Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA,) Mkoa wa Kikodi Kariakoo Warioba Kanire akizungumza na wafanyabiashara wa kariakoo jijini Dar es… Read More...
MEJA JENERALI KINGU AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MUUNDO MPYA WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, JIJINI DODOMA LEO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (kushoto), akizungumza na Wakuu wa Idara na Taasisi pamoja na m… Read More...
WANANCHI MPWAPWA WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA NA UTABIBU.
Upande wa kushoto ni Mhe. Selemani Jafo,Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi akiwa anapimwa kiwango cha sukari kwenye damu na muuguzi Sist… Read More...
MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AUNGANA NA TIMU YA MPIRA WA KIKAPU KATIKA MICHUOANO YA MABENKI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akielekeza jambo wakati alipokuwa akiwapatia mawaidha wachezaji wa T… Read More...
0 Response to "Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC"
Post a Comment