WANANCHI MPWAPWA WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA NA UTABIBU.

WANANCHI MPWAPWA WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA NA UTABIBU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI MPWAPWA WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA NA UTABIBU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI MPWAPWA WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA NA UTABIBU.
kiungo : WANANCHI MPWAPWA WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA NA UTABIBU.

soma pia


WANANCHI MPWAPWA WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA NA UTABIBU.

Upande wa kushoto ni Mhe. Selemani Jafo,Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi akiwa anapimwa kiwango cha sukari kwenye damu na muuguzi Sister Anna Lameck na pembeni ni sister Judith Adhiambo.

Mhe. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na wataalam baada ya kupima afya yake, kutoka kushoto ni Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania Dkt. Obadia Yongole, TANCDA project manager Happy Nchimbi, waziri ofisi ya rais tamisemi mhe Selemani Jafo, Muuguzi Anna Lamerk, Muuguzi Judith Adhiambo na mwisho ni Dkt. Alexander Missungwa.
MWAMBA WA HABARI.
Chama cha Madaktari nchini kwa kushirikiana na Wilaya ya Mpwapwa pamoja na Shirikisho la Vyama Vya Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza Tanzania (TANCDA) kimeweka kambi ya upimaji wa afya na utabibu kwa wananchi wa Mpwapwa.

 Akizungumza kwa njia ya simu jana kutoka mkoani humo Meneja Mradi wa Shirikisho la Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza(TANCDA) Happy Nchimbi, amesema  kuwa kambi hiyo ya upimaji wa afya ilianza Oktoba 21 na kumalizika (Jana) Oktoba 28 mwaka huu. 

Happy amesema kuwa katika kambi hiyo waliweza kutoa huduma ya upimaji bure wa magonjwa yasiyoambukiza ambao umefanywa na wao TANCDA na kuwa umeweza kuwapima wananchi zaidi ya 1500 ambapo wanachi waliendelea kujitokeza kupata huduma hiyo.

 "Wananchi wamefurahi sana na huduma hiyo ambapo wengi wao walikuwa na tatizo la shinikizo la damu bila wao wenyewe kujifahamu, lakini pia wengi wamegundulika kuwa na uzito wa juu,"amesema Happy. 

Happy amesema kuwa  wananchi wa Mpwapwa wanahitaji sana elimu ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza na visababishi vyake hasa ulaji unaofaa,ufanyaji mazoezi na kupunguza matumizi ya pombe kwa wingi. 

Amesema kuwa katika zoezi hilo Waziri wa nchi ofisi ya TAMISEMI ndiye mgeni rasmi na alijionea zoezi hilo likiendelea, na kuona uhitaji wake kwa wananchi.

Aliongeza kusema kuwa huduma za upasuaji mbalimbali zilitolewa, na madakari bingwa wa magonjwa ya watoto, kina mama, mifupa, pua,maskio, macho pamoja na magonjwa ya ndani, upimaji wa virusi vya ukimwi na pia kulikuwa na uchangiaji wa damu na wataalumu wa dawa za usingizi pia walikuwepo.

 Meneja huyo amesema kuwa upasuaji zaidi ya 100 ulifanyika ambapo wananchi wengi wamepata faraja sana.


Hivyo makala WANANCHI MPWAPWA WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA NA UTABIBU.

yaani makala yote WANANCHI MPWAPWA WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA NA UTABIBU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI MPWAPWA WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA NA UTABIBU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/wananchi-mpwapwa-wafanyiwa-vipimo-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANANCHI MPWAPWA WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA NA UTABIBU."

Post a Comment