title : TRL YAREJESHA SAFARI YA TREIN DAR-KIGOMA,MPANDA NA MWANZA
kiungo : TRL YAREJESHA SAFARI YA TREIN DAR-KIGOMA,MPANDA NA MWANZA
TRL YAREJESHA SAFARI YA TREIN DAR-KIGOMA,MPANDA NA MWANZA
Mwambawahabari
Kampuni ya reli Tanzania (TRL) imesema imerejesha tena huduma ya usafiri wa treni ya abiria na itaanza siku ya jumapili juni 11,2017.
Akizungumza na wandishi wa habari Leo jijini Dar es salaam kaimu mkurugenzi wa kampuni ya reli Tanzania TRL Focus Sahani amesema kuwa uamuzi wa kurejesha huduma hiyo unafatia kutengamaa kwa ukarabati wa daraja lilititia eneo la mto ruvu mkoa Pwani na pia kukamilika kwa tathimini ya kiwango cha usalama kinachoruhusu kupitisha treni za abiria.
Aidha Sahani ametoa wito kwa wasafiri na wananchi walioko mwanza,kigoma,mpanda na mtandao wa reli ya kati kwa ujumla kuwa wanaweza kukata tiketi za usafiri kama kawaida hadi Dar es salaam ama vinginevyo.
Hivyo makala TRL YAREJESHA SAFARI YA TREIN DAR-KIGOMA,MPANDA NA MWANZA
yaani makala yote TRL YAREJESHA SAFARI YA TREIN DAR-KIGOMA,MPANDA NA MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TRL YAREJESHA SAFARI YA TREIN DAR-KIGOMA,MPANDA NA MWANZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/trl-yarejesha-safari-ya-trein-dar.html
0 Response to "TRL YAREJESHA SAFARI YA TREIN DAR-KIGOMA,MPANDA NA MWANZA"
Post a Comment