Fainali ya SPORTPESA SUPER CUP ni Timu za Kenya,Yanga Nao Waaga Mashindano Kwa Mikwaju ya Penati.

Fainali ya SPORTPESA SUPER CUP ni Timu za Kenya,Yanga Nao Waaga Mashindano Kwa Mikwaju ya Penati. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Fainali ya SPORTPESA SUPER CUP ni Timu za Kenya,Yanga Nao Waaga Mashindano Kwa Mikwaju ya Penati., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Fainali ya SPORTPESA SUPER CUP ni Timu za Kenya,Yanga Nao Waaga Mashindano Kwa Mikwaju ya Penati.
kiungo : Fainali ya SPORTPESA SUPER CUP ni Timu za Kenya,Yanga Nao Waaga Mashindano Kwa Mikwaju ya Penati.

soma pia


Fainali ya SPORTPESA SUPER CUP ni Timu za Kenya,Yanga Nao Waaga Mashindano Kwa Mikwaju ya Penati.

 Beki wa Yanga, Juma Abdul, (kulia) akiruka kuwania mpira na beki wa AFC Leopards Abwao Marcus, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo. Katika mchezo huo AFC Leopards wameibuka na uwashinda wa mikwaju ya penati 4-2 baada ya kumalizika dakika 90 kwa sare ya 0-0.
 Mshambuliaji wa Yanga Juma Mahadhi (kulia) akiwania mpira na Kiungo wa AFC Leopards, Alan 
Katerega, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Mshambuliaji wa Yanga Juma Mahadhi (kulia) akimtoka mpira na beki wa AFC Leopards, Abdallah 
Salim, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa, akijiandaa kupiga shuti huku akizongwa na mabeki wa AFC 
Leopards, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
 Mshambuliaji wa Yanga Yusuph Mhilu (kushoto) akimtoka beki wa AFC Leopards, Abwao Marcus, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
 Winga wa Yanga, Yusuph Mhilu (kushoto) akimfinya beki wa AFC Leopards, Abwao Marcus, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Mshambuliaji wa Yanga, Juma Mahadhi (kushoto) akichuana kuwania mpira na Abdallah Salim, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
 Mshambuliaji wa Yanga, Juma Mahadhi (kushoto) akichuana kuwania mpira na Abdallah Salim, wakati wa mchezo Nusu Fainali wa mashindano ya SportPesa Super Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
 Mhilu akimkalisha beki wa AFC Leopards


Hivyo makala Fainali ya SPORTPESA SUPER CUP ni Timu za Kenya,Yanga Nao Waaga Mashindano Kwa Mikwaju ya Penati.

yaani makala yote Fainali ya SPORTPESA SUPER CUP ni Timu za Kenya,Yanga Nao Waaga Mashindano Kwa Mikwaju ya Penati. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Fainali ya SPORTPESA SUPER CUP ni Timu za Kenya,Yanga Nao Waaga Mashindano Kwa Mikwaju ya Penati. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/fainali-ya-sportpesa-super-cup-ni-timu_9.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Fainali ya SPORTPESA SUPER CUP ni Timu za Kenya,Yanga Nao Waaga Mashindano Kwa Mikwaju ya Penati."

Post a Comment