title : ASKARI WA JWTZ KAMBI YA TANGA YASHEREHEKEA SIKU YA MASHUJAA KWA USAFI NA KUJITOLEA DAMU
kiungo : ASKARI WA JWTZ KAMBI YA TANGA YASHEREHEKEA SIKU YA MASHUJAA KWA USAFI NA KUJITOLEA DAMU
ASKARI WA JWTZ KAMBI YA TANGA YASHEREHEKEA SIKU YA MASHUJAA KWA USAFI NA KUJITOLEA DAMU
Katika kuadhimisha siku ya mashujaa askari wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) Base ya Tanga wakiongozwa na Kamanda wa Base hiyo Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy wamefanya usafi katika Hospitali ya Bombo na kujitolea damu ambapo jumla ya wanajeshi 300 wameshiriki zoezi hilo lililofanikisha kupatikana uniti 50.
Kamanda wa Base ya JWTZ ya Tanga Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy akiongoza wanajeshi 300 katika zoezi la kuchangia damu, baada ya kufanya usafi katika Hospitali ya Bombo mjini Tanga leo Jumatano Julai 25, 2018 katika kuadhimisha siku ya mashujaa
Sehemu ya wanajeshi 300 katika wa Base ya Tanga wakiwa katika zoezi la kuchangia damu, baada ya kufanya usafi katika Hospitali ya Bombo mjini Tanga leo Jumatano Julai 25, 2018 katika kuadhimisha siku ya mashujaa
Sehemu ya wanajeshi 300 katika wa Base ya Tanga wakiwa katika zoezi la kuchangia damu, baada ya kufanya usafi katika Hospitali ya Bombo mjini Tanga leo Jumatano Julai 25, 2018 katika kuadhimisha siku ya mashujaa.
Picha na Sultani Kipingo, Globu ya Jamii, Tanga.
Hivyo makala ASKARI WA JWTZ KAMBI YA TANGA YASHEREHEKEA SIKU YA MASHUJAA KWA USAFI NA KUJITOLEA DAMU
yaani makala yote ASKARI WA JWTZ KAMBI YA TANGA YASHEREHEKEA SIKU YA MASHUJAA KWA USAFI NA KUJITOLEA DAMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ASKARI WA JWTZ KAMBI YA TANGA YASHEREHEKEA SIKU YA MASHUJAA KWA USAFI NA KUJITOLEA DAMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/askari-wa-jwtz-kambi-ya-tanga.html
0 Response to "ASKARI WA JWTZ KAMBI YA TANGA YASHEREHEKEA SIKU YA MASHUJAA KWA USAFI NA KUJITOLEA DAMU"
Post a Comment