title : Tanzia ya Mpiga Picha wa Zamani wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo
kiungo : Tanzia ya Mpiga Picha wa Zamani wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo
Tanzia ya Mpiga Picha wa Zamani wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo
TANZIA: Mpiga picha wa zamani wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo Mzee Mwalimu Omari amefariki dunia leo. Msuba upo nyumbani kwa marehemu Mburahati jijini Dar. Taarifa zinasema kwamba mazishi yamepangwa kufanyika kesho huko huko Mburahati.Huu ni msiba mzito kwetu sisi tuliobahatika kupita kwenye mikono ya Mzee Mwalimu Omari na wenzie kina Adinani Mihanji, Vicent Urio, Sam Mmbando, Ernest Millinga na Jonas Mwasumbi ambao nao wametangulia mbele ya haki.
Mola ailaze pema roho ya marehemu, AMINA
Hivyo makala Tanzia ya Mpiga Picha wa Zamani wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo
yaani makala yote Tanzia ya Mpiga Picha wa Zamani wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tanzia ya Mpiga Picha wa Zamani wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/tanzia-ya-mpiga-picha-wa-zamani-wa.html
0 Response to "Tanzia ya Mpiga Picha wa Zamani wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo"
Post a Comment