SINGIDA UTD YAFUNGASHIWA VILAGO NA AFC LEOPARDS KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP

SINGIDA UTD YAFUNGASHIWA VILAGO NA AFC LEOPARDS KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SINGIDA UTD YAFUNGASHIWA VILAGO NA AFC LEOPARDS KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SINGIDA UTD YAFUNGASHIWA VILAGO NA AFC LEOPARDS KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP
kiungo : SINGIDA UTD YAFUNGASHIWA VILAGO NA AFC LEOPARDS KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP

soma pia


SINGIDA UTD YAFUNGASHIWA VILAGO NA AFC LEOPARDS KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP

Mwambawahabari
 Mshambuliaji wa Singida Utd, Nhivi Simbarashe (wa pili kulia) akichuana kuwania mpira na mchezaji wa AFC Leopards, Joshua Mawira, (kulia) wakati wa mchezo wa fungua dimba mashindano ya SportPesa Super Cup, yaliyoanza leo kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Wa pili (kushoto) ni  Marcus Abwao.  Katika mchezo huo uliomalizika hivi punde AFC Leopard wameibuka kidedea kwa ushindi wa penati 5-4 baada ya kumalizika dakika 90 zikiwa sare ya 1-1. Mchezo unaofuata hivi punde ni Yanga vs Tusker
 Wachezaji wa AFC Leopards, wapigwa na butwaa baada ya kufungwa bao katika dakika ya 10 kipindi cha kwanza.
Mchezaji wa Singida United, Mtasa Wisdom, akiruka kuokoa katikati ya wachezaji wa AFC Leopards.
 Hatari langoni mwa AFC Leopards
Baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiwa jukwaani wakifuatilia mchezo huo kabla ya wao kukipiga na Tusker katika mchezo wa pili


Hivyo makala SINGIDA UTD YAFUNGASHIWA VILAGO NA AFC LEOPARDS KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP

yaani makala yote SINGIDA UTD YAFUNGASHIWA VILAGO NA AFC LEOPARDS KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SINGIDA UTD YAFUNGASHIWA VILAGO NA AFC LEOPARDS KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/singida-utd-yafungashiwa-vilago-na-afc.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SINGIDA UTD YAFUNGASHIWA VILAGO NA AFC LEOPARDS KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP"

Post a Comment