title : Sheikh Shariff amaliza Ziara yake jijini Arusha,kuelekea Tanga
kiungo : Sheikh Shariff amaliza Ziara yake jijini Arusha,kuelekea Tanga
Sheikh Shariff amaliza Ziara yake jijini Arusha,kuelekea Tanga
Sheikh Shariff Majini kutoka Dar es salaam leo Jumapili amemaliza ziara yake Jiji Arusha kwa kufanya mkutano mkubwa katika stendi ya Hiace jirani na Soko la Kilombero.
Ikumbukwe Sheikh alianza ziara Arusha siku ya Jumapili tarehe 28 May ambapo aliendesha Dua katika ukumbi wa C.C.M Mkoa.
Aliendeleabnq mkutano wa nje siku ya Jumamosi tarehe 03 Juni na amemaliza mikutano yake Jumapili tarehe 04 Juni kati viwanja vya stendi yaa Hiace jirani na soko lq Kilombero Jijini Arusha.
Jumatatu tarehe 05-06-2017 Sheikh ataanza ziara Mkoa wa Tanga ambapo Junamosi tarehe 10 Juni na Jumapili Juni atafanya mkutano mkubwa pamoja na mambo mengine atafanya Dua kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa saba mchana ili kuwahi kuandaa futru kwa akina mama.
Sehemu ya umati wa wakazi wa Arusha waliojitokeza kwenye mkutano wa Sheikh Shariff Majini.
Sehemu ya umati wa wakazi wa Arusha waliojitokeza kwenye mkutano wa Sheikh Shariff Majini.
Sheikh akiongoza dua pamoja na kuombea watoto waliofika mkutanoni.
Hivyo makala Sheikh Shariff amaliza Ziara yake jijini Arusha,kuelekea Tanga
yaani makala yote Sheikh Shariff amaliza Ziara yake jijini Arusha,kuelekea Tanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sheikh Shariff amaliza Ziara yake jijini Arusha,kuelekea Tanga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/sheikh-shariff-amaliza-ziara-yake.html
0 Response to "Sheikh Shariff amaliza Ziara yake jijini Arusha,kuelekea Tanga"
Post a Comment