MAKAMU WA RAIS AWATAKA VIJANA WASOMI KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA

MAKAMU WA RAIS AWATAKA VIJANA WASOMI KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AWATAKA VIJANA WASOMI KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AWATAKA VIJANA WASOMI KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AWATAKA VIJANA WASOMI KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA

soma pia

MAKAMU WA RAIS AWATAKA VIJANA WASOMI KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzania . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Baadhi ya vijana wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakizungumzwaa kwenye ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzani, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi. 
Sehemu ya Vijana waliojitokeza kwenye ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzani, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzania . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Balozi wa China nchini Dkt.Lu Youqing akizungumza kwenye ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzani, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi.
Sehemu ya Vijana waliojitokeza kwenye ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzani, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na balozi wa China nchini Dkt.Lu Youqing ,MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala na viongozi wengine wa Serikali na wa Chama cha Wafanyabiashara wa China nchini Tazania mara baada ya ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira  kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzania.

Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AWATAKA VIJANA WASOMI KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AWATAKA VIJANA WASOMI KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AWATAKA VIJANA WASOMI KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/makamu-wa-rais-awataka-vijana-wasomi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AWATAKA VIJANA WASOMI KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA"

Post a Comment