Jarida la TADA Newsletter Lakabidhiwa Leseni ya Uchapishaji

Jarida la TADA Newsletter Lakabidhiwa Leseni ya Uchapishaji - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jarida la TADA Newsletter Lakabidhiwa Leseni ya Uchapishaji, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jarida la TADA Newsletter Lakabidhiwa Leseni ya Uchapishaji
kiungo : Jarida la TADA Newsletter Lakabidhiwa Leseni ya Uchapishaji

soma pia


Jarida la TADA Newsletter Lakabidhiwa Leseni ya Uchapishaji

Mwambawahabari

TD1
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi leseni ya uchapishaji wa Jarida la “TADA Newsletter” Katibu Mtendaji wa Chama cha Maendeleo ya Watu wa Asia Tanzania (TADA) Dinesh Vaishnav leo jijini Dar es Salaam.
TD2
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimwelezea jambo Katibu Mtendaji wa Chama cha Maendeleo ya Watu wa Asia Tanzania (TADA) Dinesh Vaishnav mara baada ya kumkabidhi leseni ya uchapishaji wa Jarida la “TADA Newsletter” leo jijini Dar es Salaam.
TD3
Katibu Mtendaji wa Chama cha Maendeleo ya Watu wa Asia Tanzania (TADA) Dinesh Vaishnav akifurahia Jarida la Nchi Yetu linalotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO) alipotembelea Ofisi za Idara hiyo leo kwa ajili ya kupokea Leseni ya uchapishaji wa Jarida la “TADA Newsletter”. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO


Hivyo makala Jarida la TADA Newsletter Lakabidhiwa Leseni ya Uchapishaji

yaani makala yote Jarida la TADA Newsletter Lakabidhiwa Leseni ya Uchapishaji Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jarida la TADA Newsletter Lakabidhiwa Leseni ya Uchapishaji mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/jarida-la-tada-newsletter-lakabidhiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jarida la TADA Newsletter Lakabidhiwa Leseni ya Uchapishaji"

Post a Comment