title : NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, MHANDISI RAMO MAKANI AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUTUNDIKA MIZINGA KITAIFA MKOANI SIMIYU
kiungo : NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, MHANDISI RAMO MAKANI AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUTUNDIKA MIZINGA KITAIFA MKOANI SIMIYU
NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, MHANDISI RAMO MAKANI AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUTUNDIKA MIZINGA KITAIFA MKOANI SIMIYU
Mwambawahabari
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu baada ya kuwasili wilayani hapo kwa ajili ya kuongoza maadhimisho ya siku ya utundikaji wa mizinga kitaifa yaliyofanyika jana mkoani humo.
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani (kulia)
akitundika mzinga wa kisasa wa nyuki katika Maadhimisho ya Siku ya Kutundika
Mizinga kitaifa yaliyofanyika jana katika wilaya ya Itilima mkoani Simiyu. Jumla
ya mizinga 50 ilitundikwa wilayani humo. Kauli Mbiu ya maadhimisho hayo ni “Ufugaji nyuki kibiashara unachangia katika
ukuaji wa viwanda”.

Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Wizara ya Maliasili, Dkt. Ezekiel Mwakalukwa (kulia) akitundika mzinga wa kisasa wa nyuki katika
Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga kitaifa yaliyofanyika jana katika
wilaya ya Itilima mkoani Simiyu. Jumla ya mizinga 50 ilitundikwa wilayani humo.
Kauli Mbiu ya maadhimisho hayo ni “Ufugaji
nyuki kibiashara unachangia katika ukuaji wa viwanda”.
Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga kitaifa yaliyofanyika jana katika
wilaya ya Itilima mkoani Simiyu. Jumla ya mizinga 50 ilitundikwa wilayani humo.
Kauli Mbiu ya maadhimisho hayo ni “Ufugaji
nyuki kibiashara unachangia katika ukuaji wa viwanda”.
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani (kulia)
akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki wa Wizara hiyo, Dkt.
Ezekiel Mwakalukwa kuhusu upatikanaji wa vifungashio bora vya mazao ya nyuki (asali
na nta) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga kitaifa yaliyofanyika
jana katika wilaya ya Itilima mkoani Simiyu.

Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Nyuki wa TFS Kanda ya Ziwa, Samuel
Magire kuhusu kifaa maalum aina ya Analogy Honey Refractometerkinavyopima
ubora wa asali kwa kuangalia wingi wa maji na sukari wakati wa Maadhimisho ya Siku
ya Kutundika Mizinga kitaifa yaliyofanyika jana katika wilaya ya Itilima mkoani
Simiyu. Kauli Mbiu ya maadhimisho hayo ni “Ufugaji
nyuki kibiashara unachangia katika ukuaji wa viwanda”.
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Nyuki wa TFS Kanda ya Ziwa, Samuel
Magire kuhusu kifaa maalum aina ya Analogy Honey Refractometerkinavyopima
ubora wa asali kwa kuangalia wingi wa maji na sukari wakati wa Maadhimisho ya Siku
ya Kutundika Mizinga kitaifa yaliyofanyika jana katika wilaya ya Itilima mkoani
Simiyu. Kauli Mbiu ya maadhimisho hayo ni “Ufugaji
nyuki kibiashara unachangia katika ukuaji wa viwanda”.
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani
(kulia) akipima ubora wa asali kwa kutumia kifaa maalum aina yaAnalogy
Honey Refractometer ambacho huangalia
wingi wa maji na sukari wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga
kitaifa yaliyofanyika jana katika wilaya ya Itilima mkoani Simiyu.

(kulia) akizungumza na Afisa Nyuki wa TFS Kanda ya Magharibi, Karim Solyambi
kuhusu ufugaji wa nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa ambayo huongeza
uzalishaji wa asali wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga kitaifa yaliyofanyika
jana katika wilaya ya Itilima mkoani Simiyu.
(kulia) akizungumza na Afisa Nyuki wa TFS Kanda ya Magharibi, Karim Solyambi
kuhusu ufugaji wa nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa ambayo huongeza
uzalishaji wa asali wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga kitaifa yaliyofanyika
jana katika wilaya ya Itilima mkoani Simiyu.
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani
(wa pili kulia) akizungumza na Afisa Nyuki wa TFS Kanda ya Ziwa, Samuel Magire kuhusu
ufugaji wa nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa ambayo huongeza uzalishaji wa
asali wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga kitaifa yaliyofanyika jana
katika wilaya ya Itilima mkoani Simiyu. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Itilima, Benson Kilangi.

(wa pili kulia) akiangalia tuzo na cheti walichopewa kikundi cha Isengwa
Lagangabilili kwa kuwa wafugaji bora wa nyuki katika Maadhimisho ya Siku ya Kutundika
Mizinga kitaifa yaliyofanyika jana katika wilaya ya Itilima mkoani Simiyu. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Itilima, Benson Kilangi

Baadhi ya wananchi walioshiriki Maadhimisho ya Siku
ya Kutundika Mizinga kitaifa yaliyofanyika jana katika wilaya ya Itilima mkoani
Simiyu wakisikiliza hotuba ya ufunguzi wa maadhimisho hayo kutoka kwa mgeni
rasmi, Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani (hayuko pichani). Kauli
Mbiu ya maadhimisho hayo ni “Ufugaji
nyuki kibiashara unachangia katika ukuaji wa viwanda”.
ya Kutundika Mizinga kitaifa yaliyofanyika jana katika wilaya ya Itilima mkoani
Simiyu wakisikiliza hotuba ya ufunguzi wa maadhimisho hayo kutoka kwa mgeni
rasmi, Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani (hayuko pichani). Kauli
Mbiu ya maadhimisho hayo ni “Ufugaji
nyuki kibiashara unachangia katika ukuaji wa viwanda”.
Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Wizara ya Maliasili akizungumza katika maadhimisho hayo.
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Tele Ndaki akiwasilisha salamu za Mkoa kwenye maadhimisho hayo.
Baadhi ya washiriki wa hafla hiyo wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani.
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani (kulia)
akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Chama (CCM), Serikali, waandaji
pamoja na waratibu wa Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga kitaifa yaliyofanyika
jana katika wilaya ya Itilima mkoani Simiyu.
akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Chama (CCM), Serikali, waandaji
pamoja na waratibu wa Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga kitaifa yaliyofanyika
jana katika wilaya ya Itilima mkoani Simiyu.
Mbunge wa Itilima, Njalu Daudi Silanga akisalimia wananchi kwenye mkutano wa hadhara wakati wa maadhimisho hayo.
Burudani ya kucheza na nyoka pia ilikuwepo katika maadhimisho hayo.
(PICHA NA HAMZA TEMBA – WIZARA YA MALISILI NA UTALII)

HOTUBA YA NAIBU WAZIRI, MHANDISI RAMO MAKANI KATIKA MAADHIMISHO HAYO
Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, MHANDISI RAMO MAKANI AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUTUNDIKA MIZINGA KITAIFA MKOANI SIMIYU
yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, MHANDISI RAMO MAKANI AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUTUNDIKA MIZINGA KITAIFA MKOANI SIMIYU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, MHANDISI RAMO MAKANI AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUTUNDIKA MIZINGA KITAIFA MKOANI SIMIYU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-wa-maliasili-mhandisi-ramo.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, MHANDISI RAMO MAKANI AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUTUNDIKA MIZINGA KITAIFA MKOANI SIMIYU"
Post a Comment