MKUU WA MAJESHI TANZANIA AWAONYA WATU WANAOTUMIA JINA LA JESHI HILO KUDANGANYA UMMA KWAMBA WANATOA AJIRA ZA JESHI

MKUU WA MAJESHI TANZANIA AWAONYA WATU WANAOTUMIA JINA LA JESHI HILO KUDANGANYA UMMA KWAMBA WANATOA AJIRA ZA JESHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA MAJESHI TANZANIA AWAONYA WATU WANAOTUMIA JINA LA JESHI HILO KUDANGANYA UMMA KWAMBA WANATOA AJIRA ZA JESHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA MAJESHI TANZANIA AWAONYA WATU WANAOTUMIA JINA LA JESHI HILO KUDANGANYA UMMA KWAMBA WANATOA AJIRA ZA JESHI
kiungo : MKUU WA MAJESHI TANZANIA AWAONYA WATU WANAOTUMIA JINA LA JESHI HILO KUDANGANYA UMMA KWAMBA WANATOA AJIRA ZA JESHI

soma pia


MKUU WA MAJESHI TANZANIA AWAONYA WATU WANAOTUMIA JINA LA JESHI HILO KUDANGANYA UMMA KWAMBA WANATOA AJIRA ZA JESHI

Mwambawahabari


Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania,Generali Venance Mabeyo amekemea na kutoa onyo kali kwa baadhi ya watu wanaotumia mwanvuli wa wastaafu wa jeshi,askari wa jeshi au nafasi ya vyeo vyao ndani na nje ya jeshi la wananchi Tanzania kwa kulaghai umma kwamba watoe fedha ili wawasaidie kupata ajira ndani ya jeshi hilo.
Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania,Generali Venance Mabeyo alifika katika kituo cha ITV na kupokelewa na mkurugenzi wa ITV/Radio One Joyce Mhavile pamoja na viongozi wengine na kusaini kitabu cha wageni mashuhuri katika kituo hicho na kisha kutembelea katika maeneo vyumba mbalimbali vya kurushia habari. 
Akizungumza katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na kituo cha ITV na Radio one kila jumatatu saa 3 usiku na marudio ni jumatano saa 7 kamili mchana,mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania,Generali Venance Mabeyo amesema jeshi lake haliwezi kuvumilia baadhi ya watu wenye nia mbaya ya kuchafua jeshi hilo kwa tabia yao mbaya ya kuchukua pesa ndani ya jamii kwa kujifanya watasaidia watu kupata ajira jeshini wakati jeshi la wananchi tanzania halina utaratibu wa kuajiri watu kwa kutumia njia hiyo na hivyo waache tabia hiyo mara moja.
Kwa undani wa mazungumzo na mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini Generali Venance Mabeyo,usikose kuangalia kipindi cha dakika 45 jumatatu saa 3 usiku kupitia kituo chako bora cha ITV au kupitia Radio one Stereo.


Hivyo makala MKUU WA MAJESHI TANZANIA AWAONYA WATU WANAOTUMIA JINA LA JESHI HILO KUDANGANYA UMMA KWAMBA WANATOA AJIRA ZA JESHI

yaani makala yote MKUU WA MAJESHI TANZANIA AWAONYA WATU WANAOTUMIA JINA LA JESHI HILO KUDANGANYA UMMA KWAMBA WANATOA AJIRA ZA JESHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MAJESHI TANZANIA AWAONYA WATU WANAOTUMIA JINA LA JESHI HILO KUDANGANYA UMMA KWAMBA WANATOA AJIRA ZA JESHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/mkuu-wa-majeshi-tanzania-awaonya-watu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUU WA MAJESHI TANZANIA AWAONYA WATU WANAOTUMIA JINA LA JESHI HILO KUDANGANYA UMMA KWAMBA WANATOA AJIRA ZA JESHI"

Post a Comment