title : BALOZI MPYA WA KENYA AKARIBISHWA NCHINI TANZANIA
kiungo : BALOZI MPYA WA KENYA AKARIBISHWA NCHINI TANZANIA
BALOZI MPYA WA KENYA AKARIBISHWA NCHINI TANZANIA
Balozi mpya wa Kenya nchini Tanzania, Dan Kazungu akitoa hotuba yake kwa wageni mbalimbali waliohudhulia dhifa iliyoandaliwa maalum kwa kumkaribisha rasmi nchini, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Julai 31, 2018. Kulia ni Mke wa Balozi Kazungu, Bi. Mapenzi Kazungu.
Kiongozi wa Mabalozi nchini na Balozi wa Rwanda, Eugene Kayihura akizungumza jambo kwa niaba ya Mabalozi wengine, wakati wakimkaribisha Balozi mpya wa Kenya nchini Tanzania, Dan Kazungu, katika dhifa iliyoandaliwa maalum kwa kumkaribisha rasmi nchini, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Julai 31, 2018.
Kaimu Balozi wa Kenya nchini, Boniface Muhia akizungumza katika dhifa iliyoandaliwa maalum kwa kumkaribisha rasmi nchini Balozi mpya wa Kenya, Dan Kazungu, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Julai 31, 2018.
Balozi mpya wa Kenya nchini Tanzania, Dan Kazungu (kushoto) akiwa katika mazungumzo yenye furaha na baadhi ya maafisa wa Ubalozi wa Kenya hapa nchini, wakati hafla fupi ya kumkaribisha Balozi huyo, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Julai 31, 2018.
Hivyo makala BALOZI MPYA WA KENYA AKARIBISHWA NCHINI TANZANIA
yaani makala yote BALOZI MPYA WA KENYA AKARIBISHWA NCHINI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI MPYA WA KENYA AKARIBISHWA NCHINI TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/balozi-mpya-wa-kenya-akaribishwa-nchini.html
0 Response to "BALOZI MPYA WA KENYA AKARIBISHWA NCHINI TANZANIA"
Post a Comment