title : JINAMIZI la Kudanganya Umri Miss Tanzania Bado Lamtesa SITTI MTEMVU...Afunguka Haya
kiungo : JINAMIZI la Kudanganya Umri Miss Tanzania Bado Lamtesa SITTI MTEMVU...Afunguka Haya
JINAMIZI la Kudanganya Umri Miss Tanzania Bado Lamtesa SITTI MTEMVU...Afunguka Haya
Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu amedai sakata la umri lililopelekea kuvuliwa taji la Miss Tanzania ni kitu ambacho kimebadili mfumo wa maisha yake kabisa huku akiwaahidi Watanzania siku moja kuweka wazi ukweli kuhusu umri wake.
Akiongea na Bongo5 wiki hii, Sitti amedai sakata hilo liliweza kubadili mfumo wake mzima wa maisha.
Mrembo huyo kwa sasa anaendelea kufanya bishara ya kitabu chache cha Chozi la Sitti ambacho alikiandika baada ya sakata hilo.
Sitti alisema kitabu hicho kitaweza kuwasaidia vijana wengi hasa wakike katika nyanja mbalimbali za maisha.
Akiongea na Bongo5 wiki hii, Sitti amedai sakata hilo liliweza kubadili mfumo wake mzima wa maisha.
“Mamshukuru Mungu maisha yanaendelea vizuri kwa sababu lile sakata lilikuwa kubwa sana lakini baada ya kumalizika niliamua kurudi shule na namshukuru Mungu nimemaliza salama na sasa anaendelea na shughuli zangu za kawaida,” alisema Sitti. “Ishu ya umri wangu siwezi kuizungumzia kwa sasa tuombe Mungu siku moja nitaanika ukweli na kila mtu anatajua ni nini kilitokea,”
Mrembo huyo kwa sasa anaendelea kufanya bishara ya kitabu chache cha Chozi la Sitti ambacho alikiandika baada ya sakata hilo.
Sitti alisema kitabu hicho kitaweza kuwasaidia vijana wengi hasa wakike katika nyanja mbalimbali za maisha.
Hivyo makala JINAMIZI la Kudanganya Umri Miss Tanzania Bado Lamtesa SITTI MTEMVU...Afunguka Haya
yaani makala yote JINAMIZI la Kudanganya Umri Miss Tanzania Bado Lamtesa SITTI MTEMVU...Afunguka Haya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JINAMIZI la Kudanganya Umri Miss Tanzania Bado Lamtesa SITTI MTEMVU...Afunguka Haya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/jinamizi-la-kudanganya-umri-miss.html
0 Response to "JINAMIZI la Kudanganya Umri Miss Tanzania Bado Lamtesa SITTI MTEMVU...Afunguka Haya"
Post a Comment