MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI ZINACHANGIA MAAMBUKIZI YA VVU

MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI ZINACHANGIA MAAMBUKIZI YA VVU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI ZINACHANGIA MAAMBUKIZI YA VVU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI ZINACHANGIA MAAMBUKIZI YA VVU
kiungo : MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI ZINACHANGIA MAAMBUKIZI YA VVU

soma pia


MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI ZINACHANGIA MAAMBUKIZI YA VVU

Jamii imetakiwa kupiga vita mila potofu, mimba na ndoa za utotoni kwani zinachangia uwepo wa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kwa vijana na watoto mkoani Shinyanga.

Rai hiyo imetolewa leo Jumamosi Desemba 1,2018 na Afisa Mradi wa Afya ya Uzazi na Ujinsia kwa Vijana wa Shirika la Agape AIDS Control Program la Mjini Shinyanga Lucy Maganga wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani ambapo katika wilaya ya Shinyanga yamefanyika katika kijiji cha Shilabela kata ya Pandagichiza.

Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Katibu Tawala wilaya ya Shinyanga,Boniface Chambi kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Shinyanga,Jasinta Mboneko.Maganga alisema ili kutokomeza Maambukizi ya VVU ni lazima jamii ipewe elimu ya afya uzazi na madhara ya mila potofu, mimba na ndoa za utotoni kwani vinachangia maambukizi ya VVU na Ukimwi hasa kwa vijana na watoto.

Alisema katika kuhakikisha maambukizi ya VVU kwa watoto yanatokomezwa mkoani Shinyanga,shirika la Agape limekuwa likitoa elimu ya afya uzazi kupitia mradi wake wa wa Afya ya Uzazi na Ujinsia kwa Vijana katika wilaya ya Shinyanga.
Katibu Tawala wilaya ya Shinyanga,Boniface Chambi akikabidhi sare za shule zilizotolewa na shirika la Agape kwa ajili ya watoto yatima/wanaoishi katika mazingira wanaosoma katika shule ya msingi Pandagichiza wakati wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga. 

Mgeni rasmi Katibu Tawala wilaya ya Shinyanga,Boniface Chambi kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Shinyanga,Jasinta Mboneko akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani wilaya ya Shinyanga ambayo yamefanyika katika kijiji cha Shilabela kata ya Pandagichiza.Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog
Wanafunzi na wananchi wa Pandagichiza wakiwa kwenye maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani Desemba 1,2018.



Hivyo makala MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI ZINACHANGIA MAAMBUKIZI YA VVU

yaani makala yote MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI ZINACHANGIA MAAMBUKIZI YA VVU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI ZINACHANGIA MAAMBUKIZI YA VVU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mimba-na-ndoa-za-utotoni-zinachangia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI ZINACHANGIA MAAMBUKIZI YA VVU"

Post a Comment