title : WAZIRI WA KILIMO AZINDUA MATREKTA MAPYA YA SONALIKA JIJINI DAR
kiungo : WAZIRI WA KILIMO AZINDUA MATREKTA MAPYA YA SONALIKA JIJINI DAR
WAZIRI WA KILIMO AZINDUA MATREKTA MAPYA YA SONALIKA JIJINI DAR

Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga (wa pili kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi moja kati ya Matrekta mapya ya ya Sonalika, yanayosambazwa na Kampuni ya Rellance, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam, leojana. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo (kulia) ni Meneja Masoko, Sajal Bagga na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Stephen Mloshi. Picha na Mafoto Media.
Furaha baada ya uzinduzi huo....
WAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi huo.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo, akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo.

Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Stephen Mloshi, akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo.
Sehemu ya washiriki katika hafla ya uzinduzi huo.
Wawakilishi wa benki ya CRDB waliohudhuria hafla hiyo wakitambulishwa.

Waziri akionyesha zawadi aliyokabidhiwa na mkurugenzi wa kampuni hiyo (kushoto).
Picha ya pamoja baada ya uzinduzi

Waziri katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Hivyo makala WAZIRI WA KILIMO AZINDUA MATREKTA MAPYA YA SONALIKA JIJINI DAR
yaani makala yote WAZIRI WA KILIMO AZINDUA MATREKTA MAPYA YA SONALIKA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA KILIMO AZINDUA MATREKTA MAPYA YA SONALIKA JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/waziri-wa-kilimo-azindua-matrekta-mapya.html
0 Response to "WAZIRI WA KILIMO AZINDUA MATREKTA MAPYA YA SONALIKA JIJINI DAR"
Post a Comment