WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA QU-RAN KIDUNIA YATAKAYOFANYIKA JUNI 18, MWAKA HUU JIJINI DAR

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA QU-RAN KIDUNIA YATAKAYOFANYIKA JUNI 18, MWAKA HUU JIJINI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA QU-RAN KIDUNIA YATAKAYOFANYIKA JUNI 18, MWAKA HUU JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA QU-RAN KIDUNIA YATAKAYOFANYIKA JUNI 18, MWAKA HUU JIJINI DAR
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA QU-RAN KIDUNIA YATAKAYOFANYIKA JUNI 18, MWAKA HUU JIJINI DAR

soma pia


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA QU-RAN KIDUNIA YATAKAYOFANYIKA JUNI 18, MWAKA HUU JIJINI DAR

Jumla ya Washiriki 18 kutoka mataifa mbalimbali Duniani wanatarajia kushiriki fainali ya mashindano hayo yatakayo fanyika siku ya Ijumapili Juni 18, 2017 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam.

Kwamujibu wa Mjumbe wa kamati inayo Ratibu Mashindano hayo Thabit Badi amesema mpaka sasa wameshawasili washiriki 15 na mpaka kufikia saa nane usiku kuamkia kesho watakuwa wamewasili wote.

Katika Fainali hiyo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi.
Washiriki wa mashindano hayo wakiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
Mjumbe wa kamati inayo ratibu Mashindano ya Qu-ran, Thabit Badi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Mashindano ya Qu-ran yatakayofanyika siku ya Ijumapili Juni 18, mwaka huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam.


Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA QU-RAN KIDUNIA YATAKAYOFANYIKA JUNI 18, MWAKA HUU JIJINI DAR

yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA QU-RAN KIDUNIA YATAKAYOFANYIKA JUNI 18, MWAKA HUU JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA QU-RAN KIDUNIA YATAKAYOFANYIKA JUNI 18, MWAKA HUU JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-kuwa-mgeni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA QU-RAN KIDUNIA YATAKAYOFANYIKA JUNI 18, MWAKA HUU JIJINI DAR"

Post a Comment