title : RAIS MSEVEN KUFANYA ZIARA NCHINI.
kiungo : RAIS MSEVEN KUFANYA ZIARA NCHINI.
RAIS MSEVEN KUFANYA ZIARA NCHINI.
Na.John Luhende
Mwambawahabari
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Makonda leo amewataka wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kumlaki Rais wa Uganda Yoweli Mseven ambaye anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku moja.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Makonda leo amewataka wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kumlaki Rais wa Uganda Yoweli Mseven ambaye anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku moja.
Makonda ameyasema hayo leo ofisini kwakealipokuwa anazungumza na waandishi wa habari nakusema kuwa viongozi kutoka nchi mbalimbali kutokana na Mahusiano mazuri ya kidiplomasia yanayofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
Mseven anatarajiwa kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere siku ya tarehe 9, na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Dr John Pombe Magufuli na baadaye kufanya mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala RAIS MSEVEN KUFANYA ZIARA NCHINI.
yaani makala yote RAIS MSEVEN KUFANYA ZIARA NCHINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MSEVEN KUFANYA ZIARA NCHINI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-mseven-kufanya-ziara-nchini.html
0 Response to "RAIS MSEVEN KUFANYA ZIARA NCHINI."
Post a Comment