wananchi wamekuwa na uelewa wa utekelezaji wa bajeti katika kipaumbele- Tacosode

wananchi wamekuwa na uelewa wa utekelezaji wa bajeti katika kipaumbele- Tacosode - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa wananchi wamekuwa na uelewa wa utekelezaji wa bajeti katika kipaumbele- Tacosode, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : wananchi wamekuwa na uelewa wa utekelezaji wa bajeti katika kipaumbele- Tacosode
kiungo : wananchi wamekuwa na uelewa wa utekelezaji wa bajeti katika kipaumbele- Tacosode

soma pia


wananchi wamekuwa na uelewa wa utekelezaji wa bajeti katika kipaumbele- Tacosode

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

BARAZA la Vyama vya Hiari na Maendeleo ya Jamii (Tacosode) limesema wananchi wamekuwa na uelewa kuhamasisha bajeti kuwa na kipaumbele kwa changamoto zinazowakabili.

Hayo ameyasema leo Meneja wa Miradi wa Tacosode, Koga Mihama wakati akizungumza waandishi wa habari juu wananchi kuwa na uelewa kuweka umuhimu bajeti katika halmashauri kutatua changamoto zinazowakabili.

Koga amesema kuwa uelewa huo umetokana na elimu waliopata katika mradi wa uhamasishaji wananchi kushiriki katika masuala ya afya katika kuangalia vipaumbele vya bajeti uliokuwa ukitekelezwa katika Mikoa ya Iringa pamoja na Dodoma.

Amesema kuwa wananchi mradi huo katika utekezwaji wake katika Halmashauri ya Iringa pamoja na Kongwa mkoani Dodoma wananchi wamekuwa na mwamko katika masuala ya afya ushiriki kwa kuchangia katika huduma za afya.

Koga amesema kuwa mradi huo ni wa miaka minne lakini umekuwa na matokeo katika wilaya ambazo umetekelezwa kwa wananchi kuwa na mwamko katika masuala ya huduma za afya kwa kuchangia hata nguvu zao pale panapobidi.

Aidha amesema kuwa mradi huo ukiisha wanaweza kufanya katika sekta zingine ili kuwa maendeleo ya katika masuala mbalimbali kutatuliwa.

Meneja wa Miradi wa Tacosode, Koga Mihama akizungumza na waandishi wa habari juu ya baraza hilo linavyofanya kazi katika mradi wa afya, leo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Afisa Habari,Said Juma na Kushoto ni Afisa mradi wa Tacosode, Nobelrich Ekonea


Hivyo makala wananchi wamekuwa na uelewa wa utekelezaji wa bajeti katika kipaumbele- Tacosode

yaani makala yote wananchi wamekuwa na uelewa wa utekelezaji wa bajeti katika kipaumbele- Tacosode Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala wananchi wamekuwa na uelewa wa utekelezaji wa bajeti katika kipaumbele- Tacosode mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/wananchi-wamekuwa-na-uelewa-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "wananchi wamekuwa na uelewa wa utekelezaji wa bajeti katika kipaumbele- Tacosode"

Post a Comment