title : MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA UJENZI WA NYUMBA
kiungo : MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA UJENZI WA NYUMBA
MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA UJENZI WA NYUMBA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama picha za nyumba wakati alipotembelea Maonyesho ya Mpango wa ujenzi wa Nyumba za Gharama Nafuu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 30, 2017. Maonyesho hayo yameandaliwa na Muungano wa Vikundi Vya Vicoba Tanzania (VIGUTA) .Kushoto ni Mwenyekiti wa Taifa wa VIGUTA, Dkt. Salmin Ibrahim Dauda.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Hivyo makala MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA UJENZI WA NYUMBA
yaani makala yote MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA UJENZI WA NYUMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA UJENZI WA NYUMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/majaliwa-atembelea-maonyesho-ya-ujenzi.html
0 Response to "MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA UJENZI WA NYUMBA"
Post a Comment