title : NEEC NA TSN WASAINI MAKUBALIANO UHAMASISHAJI WA WANANCHI JUU YA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
kiungo : NEEC NA TSN WASAINI MAKUBALIANO UHAMASISHAJI WA WANANCHI JUU YA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
NEEC NA TSN WASAINI MAKUBALIANO UHAMASISHAJI WA WANANCHI JUU YA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC),Bi. Beng’I Issa kushoto na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Magazeti ya TSN (Tanzania Standard Newspapers) Dk. Jim Yonazi kulia wakisaini makubaliano ya kufanya kazi pamoja ya uhamasishaji na uelimishaji wananchi juu ya uwezeshaji wananchi kiuchumi. Kazi hiyo itaanza na kongamano la uwezeshaji wananchi linalotarajia kufanyika mjini Dodoma Juni 10, 2017 ambapo mgeni rasmi ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.(Picha na Mwanadishiwetu, Dar es Salaam).
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uuwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC),Bi. Beng’I Issa kushoto na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Magazeti ya TSN (Tanzania Standard News PaperS), Dk. Jim Yonazi kulia wakibadilishana nyaraka baada ya kusaini makubaliano ya kufanya kazi pamoja ya uhamasishaji na uelimishaji wananchi juu ya uwezeshaji wananchi kiuchumi. Kazi hiyo itaanza na kongamano la uwezeshaji wananchi linalotarajia kufanyika mjini Dodoma Juni 10, 2017 ambapo mgeni rasmi ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC),Bi. Beng’I Issa kushoto na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Magazeti ya TSN (Tanzania Standard Newspapers), Dk. Jim Yonazi kulia (wote waliokaa) wakisaini makubaliano ya kufanya kazi pamoja ya uhamasishaji na uelimishaji wananchi juu ya uwezeshaji wananchi kiuchumi. Kazi hiyo itaanza na kongamano la uwezeshaji wananchi linalotarajia kufanyika mjini Dodoma Juni 10, 2017 ambapo mgeni rasmi ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na waliosimama kulia ni Meneja Mauzo na Masoko, Bw. Januarius Maganga na k
Hivyo makala NEEC NA TSN WASAINI MAKUBALIANO UHAMASISHAJI WA WANANCHI JUU YA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
yaani makala yote NEEC NA TSN WASAINI MAKUBALIANO UHAMASISHAJI WA WANANCHI JUU YA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEEC NA TSN WASAINI MAKUBALIANO UHAMASISHAJI WA WANANCHI JUU YA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/neec-na-tsn-wasaini-makubaliano.html
0 Response to "NEEC NA TSN WASAINI MAKUBALIANO UHAMASISHAJI WA WANANCHI JUU YA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI"
Post a Comment