KLABU YA SINGIDA UNITED YAMSIMAMISHA MSHAMBULIAJI WAKE MUDA USIOJULIKANA

KLABU YA SINGIDA UNITED YAMSIMAMISHA MSHAMBULIAJI WAKE MUDA USIOJULIKANA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KLABU YA SINGIDA UNITED YAMSIMAMISHA MSHAMBULIAJI WAKE MUDA USIOJULIKANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KLABU YA SINGIDA UNITED YAMSIMAMISHA MSHAMBULIAJI WAKE MUDA USIOJULIKANA
kiungo : KLABU YA SINGIDA UNITED YAMSIMAMISHA MSHAMBULIAJI WAKE MUDA USIOJULIKANA

soma pia


KLABU YA SINGIDA UNITED YAMSIMAMISHA MSHAMBULIAJI WAKE MUDA USIOJULIKANA

Na Zaynab Nyamka 

KLABU ya Singida United imemsimamisha kwa muda usiojulikana mshambuliaji wake raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Kambale Salita Gentil kwa utovu wa nidhamu.

Taarifa ya Singida United iliyotolewa leo, kwa vyombo vya habari imesema kwa utovu nidhamu alioufanya Kambale jana kwenye mchezo wa hatua ya 32 Bora michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) anasimamishwa mara moja.

Kambale alimpiga ngumi mchezaji wa Green Warriors kipindi cha kwanza na kutolewa kwa kadi  nyekundu, hivyo kuiachia mzigo timu wa kucheza pungufu katika sehemu kubwa ya mchezo.Hata hivyo, Singida United ilishinda kwa penalti 4-3 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 na kusonga mbele hatua ya 16 Bora ya michuano hiyo.


Hivyo makala KLABU YA SINGIDA UNITED YAMSIMAMISHA MSHAMBULIAJI WAKE MUDA USIOJULIKANA

yaani makala yote KLABU YA SINGIDA UNITED YAMSIMAMISHA MSHAMBULIAJI WAKE MUDA USIOJULIKANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KLABU YA SINGIDA UNITED YAMSIMAMISHA MSHAMBULIAJI WAKE MUDA USIOJULIKANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/klabu-ya-singida-united-yamsimamisha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KLABU YA SINGIDA UNITED YAMSIMAMISHA MSHAMBULIAJI WAKE MUDA USIOJULIKANA"

Post a Comment