title : SERENGETI BOYS KUFANYA VIZURI KWAO NI FUNZO TOSHA
kiungo : SERENGETI BOYS KUFANYA VIZURI KWAO NI FUNZO TOSHA
SERENGETI BOYS KUFANYA VIZURI KWAO NI FUNZO TOSHA
Mwambawahabari
Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 17 “Serengeti Boys” imepata ushindi wa tatu mfululizo tangu iondoke nchini kwenda kuweka kambi maalum kwa ajili ya maandalizi kujiandaa na mashindano ya AFCON kwa vijana chini ya miaka 17 itakayoanza mwezi Mei 14, 2017.
Serengeti Boys wameifunga timu ya taifa ya vijana ya Cameroon kwa goli 1-0 lililofungwa na Ally Ng’anzi kipindi cha kwanza katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa.
Huu ni mchezo wa tatu Serengeti inashinda mfululizo, ilishinda mechi mbili za kirafiki dhidi ya Gabon zilizochezwa nchini Morocco ambako Serengeti ilikua imeweka kambi kabla ya kwenda Cameroon.
Baada ya kumaliza kambi nchini Cameroon itaondoka na kuelekea moja kwa moja Gabon ambako zitafanyika fainali za michuano hiyo ya vijana itakayoshirikisha mataifa nane.
Mtazamo juu ya Serengeti Boys ni kuendelea kuwa nayo na kuifanya iwe ni timu ya taifa kwa miaka ya mbeleni kikubwa ni kutowatupa vijana hawa pindi warudipo kutoka mashindanoni na watafutiwe timu ambazo kwa mfumo yakini kabisa wawe wanacheza ili kuendelea kujifunza kadri siku zinavyokwenda.
Hivyo makala SERENGETI BOYS KUFANYA VIZURI KWAO NI FUNZO TOSHA
yaani makala yote SERENGETI BOYS KUFANYA VIZURI KWAO NI FUNZO TOSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERENGETI BOYS KUFANYA VIZURI KWAO NI FUNZO TOSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/serengeti-boys-kufanya-vizuri-kwao-ni.html
0 Response to "SERENGETI BOYS KUFANYA VIZURI KWAO NI FUNZO TOSHA"
Post a Comment