DANIEL AGYEI AWEKA REKODI SIMBA

DANIEL AGYEI AWEKA REKODI SIMBA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DANIEL AGYEI AWEKA REKODI SIMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DANIEL AGYEI AWEKA REKODI SIMBA
kiungo : DANIEL AGYEI AWEKA REKODI SIMBA

soma pia


DANIEL AGYEI AWEKA REKODI SIMBA


 Image result for picha ya daniel agyei

 Mwambawahabari
Kipa namba moja wa Simba, Daniel Agyei, raia wa Ghana, ameweka rekodi ya kipekee kwenye michuano ya Kombe la FA baada ya kucheza dakika 360 ambazo ni sawa na mechi nne bila ya kuruhusu bao.

Agyei ambaye amejiunga na Simba katika usajili wa dirisha dogo msimu huu, amefanikiwa kuweka rekodi hiyo walipocheza dhidi ya Polisi Dar, African Lyon, Madini FC na Azam FC huku akiisaidia timu yake kutinga fainali ya michuano hiyo ambapo watacheza dhidi ya mshindi wa mechi ya jana kati ya Mbao na Yanga.

Simba ilicheza na Polisi Dar katika hatua ya 32 Bora na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0, hatua ya 16 Bora wakacheza dhidi ya African Lyon na kushinda 1-0, robo fainali wakaifunga Madini 1-0, kisha nusu fainali wakailaza Azam kwa bao 1-0.


Katika timu nne zilizocheza nusu fainali ya michuano hiyo ambazo ni Azam, Mbao Simba na Yanga, Simba pekee ndiyo kipa wao hakufungwa hata bao moja, huku makipa wa timu nyingine wakiruhusu mabao.

Kutokana na rekodi hiyo, Agyei amesema: “Ni jambo zuri sana kuona unamaliza mechi bila ya kuruhusu bao, kama nimeweza kufanya hivyo kwenye michezo iliyopita, basi nitafanya juhudi kubwa kuhakikisha hata mchezo wa fainali nisifungwe ili kuiweka vizuri rekodi yangu.
“Lakini ikitokea bahati mbaya nikaruhusu bao, nitawaambia wenzangu tupambane ili kuhakikisha tunaibuka na ushindi siku hiyo.”


Hivyo makala DANIEL AGYEI AWEKA REKODI SIMBA

yaani makala yote DANIEL AGYEI AWEKA REKODI SIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DANIEL AGYEI AWEKA REKODI SIMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/daniel-agyei-aweka-rekodi-simba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DANIEL AGYEI AWEKA REKODI SIMBA"

Post a Comment