Rais wa Zanzibar Azindua Hafla ya Uchangiaji wa Vifaa Vya Michezo Skuli za Serikali.

Rais wa Zanzibar Azindua Hafla ya Uchangiaji wa Vifaa Vya Michezo Skuli za Serikali. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Zanzibar Azindua Hafla ya Uchangiaji wa Vifaa Vya Michezo Skuli za Serikali., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Zanzibar Azindua Hafla ya Uchangiaji wa Vifaa Vya Michezo Skuli za Serikali.
kiungo : Rais wa Zanzibar Azindua Hafla ya Uchangiaji wa Vifaa Vya Michezo Skuli za Serikali.

soma pia


Rais wa Zanzibar Azindua Hafla ya Uchangiaji wa Vifaa Vya Michezo Skuli za Serikali.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma alipowasili katika viwanja vya  Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja jana katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakifuatana  na  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) walipokuwa wakiingia   katika  Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi   Mnazi Mmoja Mjini Unguja jana katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakiwa na Viongozi mbali mbali katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika  Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi  Mnazi Mmoja Mjini Unguja akiwepo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi
Viongozi na Wafanyabiashara mbali mbali wakiwa katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja wakiwa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma alipokuwa akitangaza mchango wake wa Milioni moja kumdhamini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika viwanja vya  Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja
Baadhi ya wawakilishi wa Makampuni ya kibiashara wakiwa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Mfanyabishara wa Zanzibar Said Bophar alipokuwa akitangaza mchango wake mbele ya uuma uliokusanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja wakati wa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana, mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar
Mwakilishi wa Mamlaka ya Maji safi na Salama ZAWA  Nd,Kazija Mussa Msheba akitangaza mchango wao wa Millioni tano wakati wa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana,katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja  ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipokuwa akitangaza mchango wa Millioni nane kwa niaba ya familia yake kumdhamini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa mgeni rasmi katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika viwanja vya  Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja
Picha  ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipiga mpira wakati wa Uzinduzi wa Mashindano ya Vyuo Vikuu ikinadisha wakati wa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika viwanja vya  Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mkewe  Mama Mwanamwema Shein (kushoto) pamoja na Mshauri wa Rais Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi pia Mwenyekiti wa Kamati ya Uchangiaji Vifaa vya Michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar Mhe.Mohamed Ramia wakiwangalia picha ya zamani wakati Dk.Shein alivyokuwa akishiriki mchezo wa Riadha katika Skuli ya Lumumba picha hiyo iliyofikishwa katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika viwanja vya  Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.  


Hivyo makala Rais wa Zanzibar Azindua Hafla ya Uchangiaji wa Vifaa Vya Michezo Skuli za Serikali.

yaani makala yote Rais wa Zanzibar Azindua Hafla ya Uchangiaji wa Vifaa Vya Michezo Skuli za Serikali. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Azindua Hafla ya Uchangiaji wa Vifaa Vya Michezo Skuli za Serikali. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/rais-wa-zanzibar-azindua-hafla-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Zanzibar Azindua Hafla ya Uchangiaji wa Vifaa Vya Michezo Skuli za Serikali."

Post a Comment