TEA YAKABIDHI MRADI WA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU

TEA YAKABIDHI MRADI WA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TEA YAKABIDHI MRADI WA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TEA YAKABIDHI MRADI WA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU
kiungo : TEA YAKABIDHI MRADI WA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU

soma pia


TEA YAKABIDHI MRADI WA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Graceana Shirima, akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo Wilaya ya Ilala Dar es Salaam (katikati) Kaimu Mkurugenzi TEA, Dk. Erasmus Kipesha, na Kaimu Mwanasheria TEA Igenge Edwin. (Picha na Francis Dande).
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Msongela Palela, akizungumza katika makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo wilaya ya Ilala Dar es Salaam (kushoto), Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TEA Graceana Shirima (kulia), Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Pugu, Jovinus Mutabuzi.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TEA, Graceana Shirima, akimkabidhi baadhi ya nyalaka Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji Miliki Shirika la Nyumba la Taifa, Hassan Mohamed, katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo wilaya ya Ilala Dar es Salaam. 
Meneja Habari, Elimu na Mawasiliano wa TEA, Sylvia Lupembe akijadiliana jambo na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Pugu wakati wa hafla hiyo.


Hivyo makala TEA YAKABIDHI MRADI WA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU

yaani makala yote TEA YAKABIDHI MRADI WA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TEA YAKABIDHI MRADI WA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/tea-yakabidhi-mradi-wa-ukarabati-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TEA YAKABIDHI MRADI WA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU"

Post a Comment