Matukio : Katibu Tawala, aongoza wajumbe wa kamati ya maafa kutembelea Bwawa la Nyumba ya Mungu - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Katibu Tawala, aongoza wajumbe wa kamati ya maafa kutembelea Bwawa la Nyumba ya Mungu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Matukio : Katibu Tawala, aongoza wajumbe wa kamati ya maafa kutembelea Bwawa la Nyumba ya Mungukiungo :
Matukio : Katibu Tawala, aongoza wajumbe wa kamati ya maafa kutembelea Bwawa la Nyumba ya Mungu
Matukio : Katibu Tawala, aongoza wajumbe wa kamati ya maafa kutembelea Bwawa la Nyumba ya Mungu
Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro,Mhandisi Aisha Amour akiwa ameongozana na wajumbe wengine wa Kamati ya Maafa kutembelea Bwawa la Nyumba ya Mungu lililopo wilayani Mwanga ambalo linatajwa ujazo wake wa maji wa kawaida umepitiliza na kusababisha Mafuriko kwa wakazi waishio kando ya Bonde la Mto Pangani.

Mhandisi ,Aisha Amour akitizama kina cha Maji katika Bwawa la Nyumba ya Mungu kilichofikia Mita za ujazo 689.88 .
Sehemu ya Bwawa la Nyumba ya Mungu.


Baadhi ya wakazi wa vijiji vya jirani na Bwawa la Nyumba ya Mungu wakitumia usafiri wa Mitumbwi kusafiri kutoka upande mmoja kwenda upande wa Pili.
Sehemu ya Mapitio ya Maji baada ya kujaa katika Bwawa la Nyumba ya Mungu ,maji haya yanaelekea katika maeneo ambayo yapo makazi na mashamba ya watu yaliyopo pembezoni mwa Bonde la Mto ,Pangani.

Maji yakiendelea kuenea katika uwanda wa Tambarare baada ya kujaa Bwawa la Nyumba ya Mungu.
Na Dixon Busagaga ,Kanda ya Kaskazini.
Hivyo makala Matukio : Katibu Tawala, aongoza wajumbe wa kamati ya maafa kutembelea Bwawa la Nyumba ya Mungu
yaani makala yote Matukio : Katibu Tawala, aongoza wajumbe wa kamati ya maafa kutembelea Bwawa la Nyumba ya Mungu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Katibu Tawala, aongoza wajumbe wa kamati ya maafa kutembelea Bwawa la Nyumba ya Mungu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/matukio-katibu-tawala-aongoza-wajumbe.html
0 Response to "Matukio : Katibu Tawala, aongoza wajumbe wa kamati ya maafa kutembelea Bwawa la Nyumba ya Mungu"
Post a Comment