MECHI YA YANGA NA MBEYA CITY SASA KUPIGWA SAA 12 JIONI

MECHI YA YANGA NA MBEYA CITY SASA KUPIGWA SAA 12 JIONI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MECHI YA YANGA NA MBEYA CITY SASA KUPIGWA SAA 12 JIONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MECHI YA YANGA NA MBEYA CITY SASA KUPIGWA SAA 12 JIONI
kiungo : MECHI YA YANGA NA MBEYA CITY SASA KUPIGWA SAA 12 JIONI

soma pia


MECHI YA YANGA NA MBEYA CITY SASA KUPIGWA SAA 12 JIONI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.


MCHEZO wa ligi kuu Vodacom Tanzania Bara baina ya Yanga na Mbeya City unatarajiwa kufanyika kuanzia majira ya saa 12 badala ya saa 10 jioni kama ilivyozoeleka.


Akitoa taarifa hiyo Mjumbe wa kamati ya Utendaji Klabu ya Yanga Salum Mkemi amesema kuwa  mchezo huo utachezwa majira ya saa 12 kutokana na uwanja kuwa na shughuli zingine za michezo ambazo zitachelewa kumalizika.

Mkemi amesema kuwa wanapenda  kuwatangazia wanachama, wapenzi, mashabiki na wadau wa soka jijini Dar es salaam sanjari na mikoa ya karibu kwamba; mchezo wa Jumamosi kati ya Yanga SC na Mbeya City utachezwa uwanja mkuu wa taifa usiku badala ya kuanza saa 10:00 kama ilivyo ada. 


Mchezo huo utaanza majira ya saa 12:00 jioni kongwe kabisa nchini kucheza mchezo wake wa ligi kuu usiku katika miaka ya hivi karibuni.


Maamuzi haya yamezingatia matakwa na masilahi ya wadau wa soka nchini ambao wana kiu na hamu ya kuutazama mchezo huo lakini pia wakiwa ni sehemu ya wadau wa mchezo wa riadha itakayofanyika uwanja wa taifa jumamosi hiyo hiyo. 

Mkemi amewaomba wanachama na mashabiki wajitokeze kwa wingi kuwapa sapoti vijana wao kwani ulinzi utakuwa imara na thabiti.
Mjumbe wa kamati ya Utendaji Klabu ya Yanga Salum(kulia).





Hivyo makala MECHI YA YANGA NA MBEYA CITY SASA KUPIGWA SAA 12 JIONI

yaani makala yote MECHI YA YANGA NA MBEYA CITY SASA KUPIGWA SAA 12 JIONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MECHI YA YANGA NA MBEYA CITY SASA KUPIGWA SAA 12 JIONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mechi-ya-yanga-na-mbeya-city-sasa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MECHI YA YANGA NA MBEYA CITY SASA KUPIGWA SAA 12 JIONI"

Post a Comment