title : 6 of 38 Print all In new window WADAU MBALI MBALI WA MAFUTA WAKUTANA KUJADILI ZABUNI YA UINGIZAJI WA MAFUTA KWA MWEZI WA TISA
kiungo : 6 of 38 Print all In new window WADAU MBALI MBALI WA MAFUTA WAKUTANA KUJADILI ZABUNI YA UINGIZAJI WA MAFUTA KWA MWEZI WA TISA
6 of 38 Print all In new window WADAU MBALI MBALI WA MAFUTA WAKUTANA KUJADILI ZABUNI YA UINGIZAJI WA MAFUTA KWA MWEZI WA TISA
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Serikali wa Uagizaji Mafuta ya pamoja(PBPA), Modestus Lumato akizungumza na Michuzi TV kuhusu Tenda ya Uagizaji Mafuta kwa Makampuni mbalimbali kwa Mwezi wa Tisa. Lumato amesema kuwa Uagizaji wa Mafuta hayo hufanyika mapema, kama inavyofanyika sasa mwezi wa Saba kwa Mafuta ya Mwezi wa Tisa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Zabuni ya kuagiza Mafuta kwa pamoja, Ali Saeed akifungua Sanduku la Zabuni tayari kwa kujadili Makampuni yaliyoandaa Uagizaji wa Mafuta, katika Kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Zabuni ya kuingiza Mafuta kwa pamoja, Ali Saeed akiwa na bahasha za maombi tayari kwa kujadiliwa.
Hivyo makala 6 of 38 Print all In new window WADAU MBALI MBALI WA MAFUTA WAKUTANA KUJADILI ZABUNI YA UINGIZAJI WA MAFUTA KWA MWEZI WA TISA
yaani makala yote 6 of 38 Print all In new window WADAU MBALI MBALI WA MAFUTA WAKUTANA KUJADILI ZABUNI YA UINGIZAJI WA MAFUTA KWA MWEZI WA TISA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala 6 of 38 Print all In new window WADAU MBALI MBALI WA MAFUTA WAKUTANA KUJADILI ZABUNI YA UINGIZAJI WA MAFUTA KWA MWEZI WA TISA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/6-of-38-print-all-in-new-window-wadau.html
0 Response to "6 of 38 Print all In new window WADAU MBALI MBALI WA MAFUTA WAKUTANA KUJADILI ZABUNI YA UINGIZAJI WA MAFUTA KWA MWEZI WA TISA"
Post a Comment