JUMUIYA YA MADOLA YA WAPIGA MSASA WABUNGE KUTOKA NCHI 16

JUMUIYA YA MADOLA YA WAPIGA MSASA WABUNGE KUTOKA NCHI 16 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JUMUIYA YA MADOLA YA WAPIGA MSASA WABUNGE KUTOKA NCHI 16, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JUMUIYA YA MADOLA YA WAPIGA MSASA WABUNGE KUTOKA NCHI 16
kiungo : JUMUIYA YA MADOLA YA WAPIGA MSASA WABUNGE KUTOKA NCHI 16

soma pia


JUMUIYA YA MADOLA YA WAPIGA MSASA WABUNGE KUTOKA NCHI 16

Wajumbe wa Bunge la Umoja wa Bunge la Jumuiya ya Madola wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuaza kwa Mafunzo ya wiki moja yalioandaliwa na Bunge hilo, katika mafunzo hayo Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania limewakilishwa na Naibu Spika Dr. Tulia Ackson na Baraza la Wawakilishi Zanzibar limewakilishwa na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson akitoa nasaha zake za shukrani kwa niaba ya Wabunge kutoka nchi za Jumuiya ya Madola walioshiriki mafunzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa University of Witwaterstrand, Johannesburg South Africa.
Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano Dr Tulia Ackson pamoja na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Mohammed Said wakishiriki katika masomo ya wiki pamoja huko Afrika Kusini University of Wits ambapo jumla ya Wabunge kutoka nchi 16 kutoka Jumuiya za Madola wameshiriki masomo hayo. 
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akiwasilisha kazi ya kikundi wakati wa mafunzo hayo ya wiki moja yanayofanyika Nchini Afrika Kusini yalioandaliwa na Umoja wa Bunge la Jumuiya ya Madola, akieleza kuhusiana na umuhimu wa kamati za kudumu za mabunge ya Jumuiya Madola kuelekea karne 21. 

Kutoka kushoto ni Mbunge kutoka India Ajay Misra, Naibu Spika Tanzania Dr Tulia Ackson, Seneta kutoka Jamaica Charles Pearnel na Mussa Dlamini Swaziland. Masomo hayo yanafanyika Johanessberg University of Witwatersrand kwa wiki moja na kudhaminiwa na Commonwealth Wealth. 
Wawakilishi kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Naibu Spika Dr.Tulia Ackson pamoja Simai Mohammed Said kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiwa masomomi South Africa University of Witwatersrand wakibadilishana mawazo na Mbunge wa Swaziland Mhe Mussa Dlamini



Hivyo makala JUMUIYA YA MADOLA YA WAPIGA MSASA WABUNGE KUTOKA NCHI 16

yaani makala yote JUMUIYA YA MADOLA YA WAPIGA MSASA WABUNGE KUTOKA NCHI 16 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JUMUIYA YA MADOLA YA WAPIGA MSASA WABUNGE KUTOKA NCHI 16 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/jumuiya-ya-madola-ya-wapiga-msasa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JUMUIYA YA MADOLA YA WAPIGA MSASA WABUNGE KUTOKA NCHI 16"

Post a Comment