title : SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU YAWAWEZESHA WANANCHI WA VIJIJI VYA CHILONWA NA MSANGA WILAYANI CHAMWINO KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA.
kiungo : SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU YAWAWEZESHA WANANCHI WA VIJIJI VYA CHILONWA NA MSANGA WILAYANI CHAMWINO KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA.
SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU YAWAWEZESHA WANANCHI WA VIJIJI VYA CHILONWA NA MSANGA WILAYANI CHAMWINO KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA.
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jinsia kutoka Idara Kuu ya Mendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sylivia Siriwa akizungumza na wanakijiji wa vijiji vya Chilonwa na Msanga wakati wa Semina ya uwezeshaji wananchi kupambana na ukatili wa kijinsia katika muendelezo wa Siku 16 za Kupambana na Ukatili huo.
Mwanasheria kutoka Idara Kuu Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Denis Bashaka akitoa ufafanuzi wa masuala ya kisheria na jinsi sheria inavyoweza kupambana na ukatili wa kijinsia kwa wanakijiji wa vijiji vya Chilonwa na Msanga Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma katika muendelezo wa Siku 16 za Kupambana na Ukatili huo.
Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Idara ya Ustawi wa Jamii Idara kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi.Amina Mafita akielezea nafasi na wajibu wa maafisa Ustawi wa Jamii katika katika kuisaidia jamii kupambana na ukatili wa kijinsia katika maeneo yao kwenye Semina na kuwawezesha wananchi wa vijiji vya Chilonwa na Msanga Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma kupambana na ukatili wa kijinsia katika muendelezo wa Siku 16 za Kupambana na Ukatili huo.
Wananchi wa vijiji vya Chilonwa na Msanga Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na Wataalam kutoka Serikalini na Mashirika Yasiyoya Kiserikali jinsi ya kupambana na ukatili wa kijinsia katika muendelezo wa Siku 16 za Kupambana na Ukatili huo. Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU YAWAWEZESHA WANANCHI WA VIJIJI VYA CHILONWA NA MSANGA WILAYANI CHAMWINO KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA.
yaani makala yote SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU YAWAWEZESHA WANANCHI WA VIJIJI VYA CHILONWA NA MSANGA WILAYANI CHAMWINO KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU YAWAWEZESHA WANANCHI WA VIJIJI VYA CHILONWA NA MSANGA WILAYANI CHAMWINO KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/serikali-kwa-kushirikiana-na-wadau.html
0 Response to "SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU YAWAWEZESHA WANANCHI WA VIJIJI VYA CHILONWA NA MSANGA WILAYANI CHAMWINO KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA."
Post a Comment